TAMISEMI mpo wapi, Wilaya ya Mvomero hakuna kinachoendelea. Ni upigaji, uonevu wa watumishi na ushirikina tu

TAMISEMI mpo wapi, Wilaya ya Mvomero hakuna kinachoendelea. Ni upigaji, uonevu wa watumishi na ushirikina tu

Usiogope

Wataje hao viongozi wazembe na wala rushwa, pamoja na wote walioshiriki kufuja pesa watashughulikiwa kisheria

Kuhusu kurogwa Hilo serikali kupitia wizara ya TAMISEMI hawataweza kufanya lolote kwasababu halina ushahidi na halithibitiki
 
Usiogope

Wataje hao viongozi wazembe na wala rushwa, pamoja na wote walioshiriki kufuja pesa watashughulikiwa kisheria

Kuhusu kurogwa Hilo serikali kupitia wizara ya TAMISEMI hawataweza kufanya lolote kwasababu halina ushahidi na halithibitiki
Hakuna haja ya kutaja majina,taarifa niliyotoa inatosha TAMISEMI kuweza kuchukua hatua stahiki.Waende Wilayani wakae na wafanyakazi wa Halimashauri,Hospitali ya Wilaya na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ,watapata taarifa zote.

Kuhusu fedha wamuone Mwalimu Mkuu wa Shule husika.

Kuhusu upatikanaji waji wakae na wananchi Wami-Dakawa,watapata taarifa zote pia,ni rahisi sana.
 
Aisee,Wilaya hii noma.Na yupo Mwenyekiti wa Halimashauri Ex.Std.III.Huyo ndiye ameambukiza Halimashauri yote ushirikina,na ni mpigaji kweli kweli.Ukimzuia tu kwenye upigaji,aidha uondolewe kwenye position yako kabisa,uwe demoted au ulogwe ufe.Hali ya Mvomero ni mbaya frankly,something needs to be done, and quickly.
Mwenyekiti wa halmashauri amehusika kuhamisha fedha hizo?
 
Madiwani nafikiri wanachaguliwa na wananchi ili kusimamia hizi halmashauri na kuwakilisha kero za wananchi na miradi, anzia hapo kwa wawakilishi wenu madiwani wana uwezo wa kusawazisha mambo kama wana akili na sio wala rushwa wanaweza kuja na solution ya maana
 
Wameamua kumwagiana mboga, hakuna jipya
Aisee,inaonyesha kwamba wewe sio mtu serious hata kidogo.Na una bahati kwamba upo mbali na mimi na hupo chini ya mamlaka yangu,ningeku-wajibisha.Watu waliopewa dhamana ya kuwatumikia wenzao wanafanya mambo ya hovyo mpaka wana-athiri maisha ya wenzao, halafu wewe una downplay hiyo hali unaiona si kitu.No,lazy faire attitude ya nanma hiyo haikubaliki,Watanzania lazima tubalike.Na ndio maana watawala wanatuonea because of lack of seriousness.
 
SPECIAL MESSAGE TO ALL AFRICANS
Alkibulans arise and take your right position on earth.They are subjugating you because they know you are a superior race.Jesus was black,King Solomon was Black,king David was Black,the tribe of Juda was black.the Hebrews were black.History is being untold and re-written.

Yes, Alkibulans,they hate you because they know you are a superior race and so superior to them in everything,say no to subjugation and take your rightful position in the World.They changed you continent's name to Africa because they wanted to erase your history.Your continents name is not Africa,it is Alkibulan,yes you are Alkibulans,not Africans.Once more,arise Alkibulans and take your rightful position in the World
 
Back
Top Bottom