Mcharge
Tatizo hakuna uhamasishaji katika jambo hili,na hatakama upo lakini ni mdogo sana,mimi nipo tayari kwa tar 1 /5
Mkuu mi nafikiri hakuna kinachoshindikana kikubwa ni umoja
Sawa mkuu,ila tuhamasishe na wenzetu umoja ni nguvu ili tarehe ikifika tuwe wengi katika eneo husika.
Mi naona ukiwa unawahimiza hawa watu hawaelewi,twendeni na wale walio tayari,tukapate kile ambacho kinaendelea,inagawa kuna mtu wa huko wizarani aliniambia,suala lenu linafanyiwa kazi cha msingi aliyekosa aandike barua tamisemi
Sull23
Ina maana yale majina tulio andika pale tamisemi dar na dodoma ni kazi bure?
Akiwezekani kitu kama icho ujuwe nini mi kuna mtu 1 yupo pale tamisemi aliniambia ishu yetu inashugulikiwa kuanzi tarehe 1 inaweza kuwa tayari sasa nasubiliya iyo tarehe 1 inakuwaje
Sasa kama wamepanga kutoa tarehe 1/5 kuna haja ya kwenda tena Dodoma?!.
Kwani wewe ulipanga kwenda dodoma tamisemi or dar tamisemi
Ni bora twende ofisi kuu dodoma,dar hakuna haja ya kwenda tena
Mkuu wengine tupo hapa dar sijuwi inakuaje
Mkuu,
kumbe upo dar,hujawahi kufika hapo tamisemi ofisi za dar kuulizia kinacho endelea??!!
Mkuu nimeulizia sana hapa dar mpaka nimechoka
Sull23
Ina maana yale majina tulio andika pale tamisemi dar na dodoma ni kazi bure?
Inawezekana,unajua hawa watu washazoea haya mambo na cyo bahati mbaya na wala haiwaumizi vichwa ndo maana ukiwauliza kila mmoja wao anakupa jibu lake,by the way hyo tar 1 cyo mbali,tuisubiri tuone kama wana neno juu yetu
Kwamaana hiyo tusubirie hiyo tarehe ipite ndio watu tupange utaratibu wakuelekea dodoma ofisi za tamisemi?
Haswa,mi naona vema hvo