Tamisemi na wizara ya elimu tunaomba mtoe tamko kwa sisi tulio kosa ajira

Sawa mkuu,ila tuhamasishe na wenzetu umoja ni nguvu ili tarehe ikifika tuwe wengi katika eneo husika.

Tatizo nini mkuu tupo seperate sana alafu kuna watu wengine kama wamekata tamaa ata sijuwi tudisign tangazo la aina gani ili liweze kuwafikia walengwa wengi
 
Mi naona ukiwa unawahimiza hawa watu hawaelewi,twendeni na wale walio tayari,tukapate kile ambacho kinaendelea,inagawa kuna mtu wa huko wizarani aliniambia,suala lenu linafanyiwa kazi cha msingi aliyekosa aandike barua tamisemi
 
Sull23
Ina maana yale majina tulio andika pale tamisemi dar na dodoma ni kazi bure?
 
Akiwezekani kitu kama icho ujuwe nini mi kuna mtu 1 yupo pale tamisemi aliniambia ishu yetu inashugulikiwa kuanzi tarehe 1 inaweza kuwa tayari sasa nasubiliya iyo tarehe 1 inakuwaje
 
Sasa kama wamepanga kutoa tarehe 1/5 kuna haja ya kwenda tena Dodoma?!.
 
Akiwezekani kitu kama icho ujuwe nini mi kuna mtu 1 yupo pale tamisemi aliniambia ishu yetu inashugulikiwa kuanzi tarehe 1 inaweza kuwa tayari sasa nasubiliya iyo tarehe 1 inakuwaje

Hayo ndo maneno mcharge,na kuna mwingine anasema mpaka kufikia july wote wanaajiriwa hata kwa wale walioenda kuclear supplementary
 
Sull23
Ina maana yale majina tulio andika pale tamisemi dar na dodoma ni kazi bure?

Inawezekana,unajua hawa watu washazoea haya mambo na cyo bahati mbaya na wala haiwaumizi vichwa ndo maana ukiwauliza kila mmoja wao anakupa jibu lake,by the way hyo tar 1 cyo mbali,tuisubiri tuone kama wana neno juu yetu
 
Kwamaana hiyo tusubirie hiyo tarehe ipite ndio watu tupange utaratibu wakuelekea dodoma ofisi za tamisemi?
 
Chemichemi,sulle23,mchange poleni sana wakuu.
 
Back
Top Bottom