Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Aisee kama ni kipele kimempata mkunaji, Bachungwa najua kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utaimudu, uko serious sana mzee hasa pale unapokabidhiwa jukumu na mkuu wako, ni mtu unayeongozeka mzee baba!
Watanzania tumepata dume
.....Ila wejamaa sijawahi kukuona unacheka!
Mwenye kapicha Bashungwa akicheka tafadhali 😀😀😀
Watanzania tumepata dume
.....Ila wejamaa sijawahi kukuona unacheka!
Mwenye kapicha Bashungwa akicheka tafadhali 😀😀😀