Tamisemi ndani ya Bashungwa

Tamisemi ndani ya Bashungwa

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Aisee kama ni kipele kimempata mkunaji, Bachungwa najua kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utaimudu, uko serious sana mzee hasa pale unapokabidhiwa jukumu na mkuu wako, ni mtu unayeongozeka mzee baba!
Watanzania tumepata dume
.....Ila wejamaa sijawahi kukuona unacheka!
Mwenye kapicha Bashungwa akicheka tafadhali 😀😀😀
 
Huyu jamaa is Sukuma Ghang. Mbona tiss wana mislead mama?
 
Back
Top Bottom