S Seth seth Senior Member Joined Jan 2, 2022 Posts 115 Reaction score 157 Jun 18, 2025 #1 Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
mjanja wa kijiji JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 1,895 Reaction score 5,048 Jun 18, 2025 #2 Hujaziona baiskeli zinazogawiwa kanda ya ziwa? hela zote zimeishia huko.