Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Nimeelewa kwann Kila mwaka Tamisemi inatangaza rundo la nafas a kazi Kwa walimu na watu wa afya, aisee huku vijijini Kuna maeneo kama hujawahi kupigika mtaani kabla ya kupata ajira huwez kukaa hata kidgo yaani ni ndani ndani vibaya mno watu wanaripoti kisha wanasepa.