TAMISEMI safari hii sijui wamezingatia nini

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science.
Mdogo wangu hana raha hapa alichagua masomo ya Arts ila amepelekwa PGM Songea Boys.
Mods please msiunganishe Uzi wangu 😭 , huu Uzi unajitegemea
 
Attachments

  • Screenshot_20240531-073528.png
    Screenshot_20240531-073528.png
    31.6 KB · Views: 8
Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science.
Mdogo wangu hana raha hapa alichagua masomo ya Arts ila amepelekwa PGM Songea Boys.
Mods please msiunganishe Uzi wangu 😭 , huu Uzi unajitegemea
Wakwangu aliomba kusoma PGM wamempanga PCM Ilboru
 
🤣🤣🤣🤣🤣sere kale ya mama kizimkazi
 
Selection za mwaka huu sijui wamezingatia nini, unakuta mtoto alijichagulia masomo yake ya Arts mara anapelekwa Science, na aliyechagua masomo ya science.
Mdogo wangu hana raha hapa alichagua masomo ya Arts ila amepelekwa PGM Songea Boys.
Mods please msiunganishe Uzi wangu 😭 , huu Uzi unajitegemea
Kama shule anayoenda wana comb anayoitaka na yeye mtoto amefaulu masomo hayo ataenda kubadilishia huko huko. Kama hawana hiyo comb anayoitaka hapo ni changamoto
 
Wakwangu aliomba kusoma PGM wamempanga PCM Ilboru
mwache aende akapate one yake nzuri ,PCM inampa uwanja mpana chuo ,pia hamna shule ya maana yenye PGM, hapo Ilboru kwa PCM one ni kugusa tu na anapanuka kiakili sababu anakutana na vipanga.
 
Yeap nimeshakubali aende tu kusoma PCM , maana alipomaliza form four nilimuuliza unataka ufanye nini kaniambia anataka kusoma computer science nikamnunulia computer na Internet ya vodacom superkasi mpaka sasa anaweza kuunda website vizuri na baadhi ya mifumo mwenyewe na amejifunza mwenyewe
 
Akifika hapo box 2 akabadilishe aende huko.Arts anakotaka, uzuri wa pale comb zote za arts zipo, atachagua yeye anataka ipi.
 
Back
Top Bottom