TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

Aisee walimu acheni papara bajeti ikipitishwa na mpunga ukatoka chap pdf inatoka
 
Huo mzigo asee Utakuwa ni wa kushanta, hamna wenye connection kwenye afya Hapo wajuba
 
Wahitimu wengi mnaosubiria hizo ajira, mjiandae kwa mara nyingine tena kupigwa na kitu kizito kichwani. Msubirie kuona wahitimu wa mwaka jana 2022 wakiajiriwa, huku nyinyi wa 2015, 2016, na kuendelea mkiachwa! Na wakati wote mna sifa sawa, na pia masomo yenu yanafanana.

Aisee vijana pambaneni kujiajiri. Pambanne kutafuta mtaji! Pambaneni kutafuta fursa! Hata mkiingia kwenye hizo ajira, bado mtaendelea tu kuishi kama watumwa maisha yenu yote. Wakati tukubali tu kuajiriwa ni utumwa!

Na wakati wa kustaafu, mtapewa 33% ya mafao yenu na hii serikali ya kipigaji ya ccm! Na 67% itakayobakia, watakuombea ufe mapema ili waitaifishe.
 
Wahitimu wengi mnaosubiria hizo ajira, mjiandae kwa mara nyingine tena kupigwa na kitu kizito kichwani. Msubirie kuona wahitimu wa mwaka jana 2022 wakiajiriwa, huku nyinyi wa 2015, 2016, na kuendelea mkiachwa! Na wakati wote mna sifa sawa, na pia masomo yenu yanafanana.

Aisee vijana pambaneni kujiajiri. Pambanne kutafuta mtaji! Pambaneni kutafuta fursa! Hata mkiingia kwenye hizo ajira, bado mtaendelea tu kuishi kama watumwa maisha yenu yote. Wakati tukubali tu kuajiriwa ni utumwa!

Na wakati wa kustaafu, mtapewa 33% ya mafao yenu na hii serikali ya kipigaji ya ccm! Na 67% itakayobakia, watakuombea ufe mapema ili waitaifishe. Walimu mbona wanagood life boss
 
Back
Top Bottom