Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Unataka kuhamia wapi na unatoka wapi? hapo ndiyo tunaweza kukusaidia mkuuKuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Nje na mshahaara hawezi kuishi atajinyonga, hapo anataka kuhama kumfuata mume wakeMimi nimwanasykolojia bila shaka wewe ni mwalimu. Nakushauri acha kulalamika badala yake acha hii kazi niyakitumwa
Kibali kip nimekiona lakini mmmmmmhhh ngoja niache wajikaaange wenyeweHicho kibali umekiona?
Anyway,Waulize kama wanabishana na katibu mkuu au vipi. Au uende kwa katibu tawala wa mkoa.
Ukishindwa useme.
Acha dharau mkuuuNje na mshahaara hawezi kuishi atajinyonga, hapo anataka kuhama kumfuata mume wake
Dharau ipi mkuu? ndiyo ukweliAcha dharau mkuuu
Huu upuzi ndo sitakagi. Niliwahi gombana na mkurungezi kwa issue kama hii. Mke wangu anaumwa nikafanya juu chini nikapata uhamisho toka wizaran mkurungezi akawa anazengua. Nikamfata Nikamwambia unanipa kibali hunipi. Akajibu sikupi. Nikamwambia naishi na mke wangu na ni Bora kuliko mshahara.Hili jambo linakera sana kwa kweli. Na kimsingi linachangia pia kwenye kuzorotesha utoaji wa huduma bora, kwa wafanyakazi wengi waliozuiliwa kuhama kwa sababu tu za kipuuzi.
Nipo katika hatua za awali lkn kama akingua nitamzinguaHuu upuzi ndo sitakagi. Niliwahi gombana na mkurungezi kwa issue kama hii. Mke wangu anaumwa nikafanya juu chini nikapata uhamisho toka wizaran mkurungezi akawa anazengua. Nikamfata Nikamwambia unanipa kibali hunipi. Akajibu sikupi. Nikamwambia naishi na mke wangu na ni Bora kuliko mshahara.
Asubuh yake napigiwa simu kibali tayari. Na nikamwambia aniandalie mafao ya uhamisho haraka ndo nitaondoka. Akanijibu usitumangie lini tutakulipa. Siku iliyofata akapigiwa simu toka tamisemi kwanin anasumbua wafanyakazi. Malipo yalifanyika ndana ya siku tatu. Nikasepa.
Na huo ndo ukawa mwisho wa Mimi kua mtumwa wa kuajiriwa. Kazi ikaishia hapo Hadi leo
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa ukiwa mnyonge watakusumbua sana yani utaonewa..chamsingi ni kuwa jeuri tu chamsingi madai yako yawe ya haki.Huu upuzi ndo sitakagi. Niliwahi gombana na mkurungezi kwa issue kama hii. Mke wangu anaumwa nikafanya juu chini nikapata uhamisho toka wizaran mkurungezi akawa anazengua. Nikamfata Nikamwambia unanipa kibali hunipi. Akajibu sikupi. Nikamwambia naishi na mke wangu na ni Bora kuliko mshahara.
Asubuh yake napigiwa simu kibali tayari. Na nikamwambia aniandalie mafao ya uhamisho haraka ndo nitaondoka. Akanijibu usitumangie lini tutakulipa. Siku iliyofata akapigiwa simu toka tamisemi kwanin anasumbua wafanyakazi. Malipo yalifanyika ndana ya siku tatu. Nikasepa.
Na huo ndo ukawa mwisho wa Mimi kua mtumwa wa kuajiriwa. Kazi ikaishia hapo Hadi leo
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Lindi kwenda mwanzaUnataka kuhamia wapi na unatoka wapi? hapo ndiyo tunaweza kukusaidia mkuu
Nchi hii ni ya hovyo Sana! Shithole country!Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Nenda kamuone RAS utasaidiwa haraka sn au uingie online kuna tumia link ya sema na Waziri(Sema na Waziri Utumishi (SWU))Lindi kwenda mwanza