Good job Mkuu. Kazi nzuri.
Ukiwa na UC Browser unaweza ku'preview yaani ku'check file contents directly. Hii itasaidia kama simu yako inazingua au haina document viewer ya kueleweka.
Majina wamesha toa tamisemi.
Uhakika mkuu, majina yote ninayo hapa kwenye pc
Uhakika mkuu, majina yote ninayo hapa kwenye pc
jaman mbona mi naingia kwenye website ya tamisemi siyaoni hayo majina?
haya mkuu asante ntacheki bdaye nkifika home nipo safarini mana cm yangu haina hayo mapdf !
Utabiri wangu umekufikia vema? Hongera kujipatia Ajira,....
hahaha mkuu hivi ulinitabiria wapi vilee!