TAMISEMI wafunguka.

TAMISEMI wafunguka.

Status
Not open for further replies.
Good job Mkuu. Kazi nzuri.

Ukiwa na UC Browser unaweza ku'preview yaani ku'check file contents directly. Hii itasaidia kama simu yako inazingua au haina document viewer ya kueleweka.

Mi mwenyewe nnaitumia hiyo UC browser.

Ila serikali yangu imenisaliti.
 
Walimu mkapige kazi msaidie kizazi cha div 5.

Kazi njema Mungu awe nanyi.
 
Jamani kwani ya diploma tayari,km tayari mwenye nayo atuwekee
 
We DZUDZUKU naona sasa karoho kako kwatu! Mana ulikuwa hulali! Haya twenzetu chitchat sasa huku tutarudi mshahara ukicheleweshwa!!
 
Last edited by a moderator:
Mumewasema weee hao tamisemi kuchwa hatulali humu! Haya sasa muende kuuza mibuyu darasani he he he! Walimu oyeeee! Kidumu chama cha ma..ah CWT !!!
 
hahaha mkuu hivi ulinitabiria wapi vilee!

Ebo! Umesahau eeeh??? Haya niko nayo hapa post zote, {certificate, diploma, shahada, } {WhatsApp 0787459850 utumiwe ulipopangwa naona simu yako haisomi pdf}
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom