TAMISEMI Waliweka nafasi hewa za ualimu

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38]Daah kumekuchaa
 
Ahahaaaa imeisha hiyo , kidagaa mmoja WA Tamisemi alisikika
 
Ajira za tamisemi za kishenzi sana ,bora kwenda kulima tu na si kutegemea hizi ajira , wamejazwa watu wa diploma na certificate

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa ni mwendo WA cheap labour Tu , nchi inasikitisha hii , halafu kuna mbuzi inakuja kulakamika ubovu WA elimu, ni ajabu mpaka leo nchi hii kuna diploma na certificate ya education , ni ufala Sana
 
Ivi certificate au diploma anauwezo kweli wa kufundisha mtot wa secondary mpaka kumefnya mtu wa bachelor degree aachwe achkuliwe yey, ndomaana ziro hazitoisha kweny shule za serikali kwa mfumo huu
 
Hizi ajira hazina upendeleo wowote ni kutimiza vigezo tyu. Tulio kosa tusife moyo japo MIMI HATA MAOMBI SIKUTUMA lakini wametenda haki sana
 
Usisahau kwenye afya pia, eti nafas 244 za assistant clinical officer (wenye cheti) zimekosa watu inabid zitangazwe upya wakat clinical officer ( wenye diploma) wengi tu wameomba na wamewachinjia baharini
 
Unaangaliaje
Changamoto aisee

Aisee namimi nimeangalia hapa ni shule moja tu kwa masomo niliyoomba ndio Ile nafasi imejazwa n mtu....
 
Hahaaaaa ni mwendo WA cheap labour Tu , nchi inasikitisha hii , halafu kuna mbuzi inakuja kulakamika ubovu WA elimu, ni ajabu mpaka leo nchi hii kuna diploma na certificate ya education , ni ufala Sana
Na kweli serikali inaangalia unafuu wa kwao..
 
Ivi certificate au diploma anauwezo kweli wa kufundisha mtot wa secondary mpaka kumefnya mtu wa bachelor degree aachwe achkuliwe yey, ndomaana ziro hazitoisha kweny shule za serikali kwa mfumo huu
Mifumo yetu inatakiwa kupitiwa upya..
 
Hizi ajira hazina upendeleo wowote ni kutimiza vigezo tyu. Tulio kosa tusife moyo japo MIMI HATA MAOMBI SIKUTUMA lakini wametenda haki sana
Kama hukuomba, umejuaje wametenda haki. Tena sana?
 
Unaangaliaje

Changamoto aisee
Unaingia kwenye pdf halafu una find shule uliyoomba unaangalia waliochaguliwa na masomo yao. Kama somo lako lipo basi kachaguliwa ila kama hamna ina maana hamna aliyechukuliwa kwenye nafasi husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…