Chambichambi
Senior Member
- May 23, 2022
- 139
- 229
Kulingana na watu ninanaowafahamu wameapiaKama hukuomba, umejuaje wametenda haki. Tena sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulingana na watu ninanaowafahamu wameapiaKama hukuomba, umejuaje wametenda haki. Tena sana?
Sawa, nisibishe.Kulingana na watu ninanaowafahamu wameapia
Asante kwa ushauri..Stress mbaya[emoji23][emoji23][emoji23] mtu kakosa jina lake anaanza kuichambua pdf ya majina apate reason to complain, hii haina tofaut na ile ya majina ya waliofaulu la7&form4 ukiona matokeo mabaya unaanza kulalama.
Chamsingi ni ninyi kujiandaa kisaikolojia kwakujua kuwa mambo ya ajira siku hizi ni bahati, hivyo jihesabu kama huna bahati na ufocus kwa ishu zingine za msingi ndipo utaishi vzr, mbna wengi tu walishaachana na kupambania hayo mambo na maisha yako fresh no stress[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa , mpaka huwa ninacheka nikiangalia yanayoendelea kwenye hii job market ya TzUsisahau kwenye afya pia, eti nafas 244 za assistant clinical officer (wenye cheti) zimekosa watu inabid zitangazwe upya wakat clinical officer ( wenye diploma) wengi tu wameomba na wamewachinjia baharini
Mkuu Mimi Nina uhakika wa kiasi fulani, toka walete mfumo wa kutuma maombi sasa hivi ili upate ajira adi mkono wako uwe na kitu. Hiyo Nina uhakikaSawa, nisibishe.
1. Ila ukakasi wangu wa kwanza ni huo hapo na ushahidi kuwa nafasi zimetangazwa na hajapangiwa mtu.
2. Lakini idadi kubwa ya waliosoma ualimu classmates zao hawamo kwenye hiyo list ya majina tena 2015 na 2016.
3. Kingine genuine ya waliochaguliwa wangetia na namba za form 4 kama walivyofanya awali, ila kwa sababu labda ya kuogopa madudu waliyofanya mwaka huu hawajaweka.
So majina yapo lakini hatujui kama wamechagua watu kadhaa halafu wakatengeneza marobot yao kama kawaida. Tatizo ya hizi ajira wakati mwingine imekuwa ina siasa ndani yake so kusema wametenda haki ama laa nahisi wanajua wao kwa sasa