TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Cheti ni kimoja hicho hicho cha chuo na kipo valid ,ndio kimejiattach mara mbili na programme name ni iyo iyo na chuo kimeandikwa kile kile ila imetokea mara mbili, na kuhusu recommendation letter ni kama nilivyoelezea kuwa barua ile ya kawaida ya kuomba kazi ndio imekuwa attached pale na kule mwishoni ukitaka kusubmitt ameattach tena na maombi yamekuwa received na profilr ilikuwa na 100%
 
Hapo kwenye verification certificate tunaweka nini?
 

Attachments

  • Screenshot_20240710-201530.jpg
    37 KB · Views: 9
Tumia passport photos app alafu dimensions ya 50mm *50mm
Sio kwamba n 300 kwa 300? Kuna mtu nilikuwa namfanyia halafu system ikamuandikia hvy.


NB:
Mm ya kwangu nilichukua passport size yangu halafu nikaipiga picha kwa simu na nikai-crop kulinganisha na passport size ya kawaida na nikaiweka kwenye system na ikakubali wakati huo huo bila kuambiwa nirekebishe dimension

CC Msigazi Mkulu
 
Hakuna shida usijali lakini chamsinge vyote vilikuwa veryfied na barua uliweka sign na profile yako ina picha!
 
Tunatakiwa kutype au kuandika kwa mkono? Kwenye tangazo tumesisitizwa kuweka sahihi tu
Kama barua umeandika kwa mkono bc na sign nayo n kwa mkono, kama barua umeandika kwa typing bc ht sign n kwa typing au unaweza kuiprint na kusign kwanza kwa mkono (kama n sign ya mchanganyiko nadhani kutakuwa na namna ya kuiandika hvy mana Mm natumia simu na hua naandika sign yangu ya mcharazo kupitia simu)
 
Swala la picha huwa inagoma kukaa kwa mara moja lakini baadae utaikuta imekaa chamsingi ni kucheki kila mara your profile
 
Swala la picha huwa inagoma kukaa kwa mara moja lakini baadae utaikuta imekaa chamsingi ni kucheki kila mara your profile
Hapo tunazungumzia dimension ya picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…