Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
Cheti ni kimoja hicho hicho cha chuo na kipo valid ,ndio kimejiattach mara mbili na programme name ni iyo iyo na chuo kimeandikwa kile kile ila imetokea mara mbili, na kuhusu recommendation letter ni kama nilivyoelezea kuwa barua ile ya kawaida ya kuomba kazi ndio imekuwa attached pale na kule mwishoni ukitaka kusubmitt ameattach tena na maombi yamekuwa received na profilr ilikuwa na 100%Cheti kimeongezwa mara mbili(ila ni cheti hicho hicho), binafsi nafikiri hamna kosa hapa, wataelewa kuwa uliweka kimakosa, na kama cheti kipo valid, watakipokea.
Jamaa kaweka barua kwenye sehemu ya recommendation, pia kaweka sehemu sahihi. Recommendation sio muhimu, haiwezi kumdisqualify.
Hitimisho: Binafsi naoma hamna tatizo.
Kama una wasiwasi, wapigie PSRS waeleze hilo jambo watalitatua