TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Barua na vyeti n vitu viwili tofauti, usichsnganye
 
Niwashukuru Mbanga Jr, Mwifwa kwa mawazo yenu lile swala la kuattach cheti cha chuo mara mbili kwa majina ya chuo kama nilivyoelezea hapa, nimewatumia email desk top ya ict kwa msaada wa kuondolewa icho cheti na wamefanya hivyo japo nimewasumbua kwa kutuma email nimetuma zaidi ya mara tatu na siku tofauti tofauti, wamekiondoa kimoja na kimebaki kimoja pale .Nime edit barua kwa mara ya mwisho na ku_update tena maombi. 🙏Nime edit weeee nime edit sana tu na kuresend mara kibao hahaha
 
N furaha yangu kuona umekamilisha kila kitu, kujaza taarifa zako kwenye huu mfumo ipo ndani ya uwezo wako ila kupata kazi ni baraka za Mungu, hvy bc kila mtu afanye wajibu wake.
 
Yaani mchakato ufanywe na utumishi halafu interview isiwepo?
Lazima watu wafanye interview, ingawaje serikali iwe makini na hizi interview vijana wanaweza kukutana wakapanga mipango yao huko.
Mwaka jana wizara ya afya walitoa ajira post 289 na waliomba kupitia Utumishi waliitwa kazini na hawakufanya interview.
 
Vp kuhusu mikoa je unaweza kupangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba mfano uombe mwanza alafu upangiwe kigoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…