Sina kingine zaidi ya cheti icho kimoja nilicho attach mara mbili sehemu ya accademic qualification ambapo hakuna option ya delete, na chanzo cha kuatach itokee mara mbili ilikuwa kwenye orodha chuo changu kimeandikwa ruaha university college(Ruco) nikaatach cheti, baada ya hapo nikawaza kwenye cheti imeandikwa Ruaha catholic university (Rucu) hivyo nikaselect others nikaattach tena cheti icho icho na sikujua kama nisingeweza kufuta ile ya mwanzo, japo Ruco na Rucu ni sawa tu utofauti ni zamani ilikuwa ruco na sasa ni rucu.
Ahsante nawasilisha mwenye ushauri zaidi asisite kunipa