TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Post kumi naa, watakaofika kwenye interview watu elf tano, na kati yao wote hola.....poleni sana vijana hizi nyakati ni ngumu upande wa ajira.

Mbaya zaidi elimu yetu inatuandaa tu kuwa waajiriwa.🤔
Hatari sana.Wakati sisi tulikuwa tunajifanyia tutakavyo tu.Unaajiriwa leo baada ya miezi sita unaacha kazi halafu unaomba nyingine. Leo hii hakuna hiyo.
 
Muda si mrefu chawa wakiamka utasikia
Serikali ya mama yamwaga ajira kwa mamilioni ya watanzania
Wananchi walia vilio vya furaha na kububujikwa machozi
Mama ameaandika tena historia nyingine ya kipekee haijawahi kutokea tangu tupate uhuru.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh kuna mtu aliwahi nambia kuwa kuanzia sahivi ajira zitakua kwa interview, kumbe ni kwelii.

Nweii waombaji wakafanikiwe ktk hitaji lao, km nawaona Broohzz zangu wakichangamkia fursaa, na wakafanikiwe kupataa, ili nibaki home pekee angu Jobless

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afya kuna ajira sana.. ubaya wa sehem za hivi kuja kutoboa kimaisha ni ngumu mnoo..

Yaan ukijiona ktk kada mnaitwa watu kuanzia 20+ basi ujue upo ktk fungu fulani hivi la bora liende..

Sasa kada moja watu 2000+ nyingine watu 140+ 😅 mnategemea mtapewa mishahara mizuri hapo..
 
Back
Top Bottom