TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Kuhusu Address, muongozo umeeleweka. Pia wawe tayari kwa mabadiliko ambayo yanaweza kutokea huko mbeleni.

PSRS wakitangaza kitu ujue wako tayari kutekeleza hilo jambo, endapo wasipotangaza basi wahusika wajue kuwa address walizojaza ndizo zitatumika(zimetumiwa) kuwapangia vituo vya usahili
 
Wakuu emu nisaidieni hapa Kila kitu nimeshajaza ila mwishoni ndio hivyo
Mara nyingi kwenye hii ishu hua tunakosea pale kwenye programu category pale ukikosea n lazima mfumo ukikatae, hvy n lazima uwe kwenye programu category sawa na ile ambapo post ya kazi imetoka.

Pia kuna ile course name hawa ajira portal wanataka jina la course liwe sawa na yao walivoandika yn ikiwa tofauti wanakukataa.

Kwahy rudi kwenye akaunti yako na uweke mambo sawa.
 
Wakuu emu nisaidieni hapa Kila kitu nimeshajaza ila mwishoni ndio hivyo
Maana yake umeomba kazi ambayo hauna vigezo hakikisha unaomba kazi ambayo ina qualification ambazo unazo!
Mfano ukiwa na degree omba yenye degree
Ukiwa na certificate omba ya certificate
Ukiwa na deploma omba ya diploma!

Halafu angalia sifa za ziada zilizoainishwa kwa mfano kuna watu wanatakiwa kuwa na leseni ya kufanyia kazi kama kazi inahitaji mwenye leseni ! Hakikisha umesoma vyema vigezo vyote vinavyo hitaji kila kazi! Hakikisha umeweka vyeti vya ziada vinavyo hitajika!

Kinyume na hapo kama kila sehemu unadhani umeweka rudi kila eneo angali kama kweli vimekaa na kusave unaweza kuta mfano uliweka leseni lakini kumbe au haikusave au ulikuweka certificate fulani haikukaa! Check check check
 
Concur with u Mkuu! Acheck kila kitu maana anaweza kuwa anachagua kitu ambacho hana
 
🤝

Haya na Mm nmemalizana khs address, sasa tuendelee na mambo mengine
 
Mkuu emu nisaidie hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20240714-213223.jpg
    274.6 KB · Views: 9
Mkuu emu nisaidie hapa
Ety mkuu John Reese kijana Mwenzako kama huyu utamsaidia vp?
Yn ameuliza swali na amejibiwa na watu wawili hapo juu lkn anakuja kuuliza tena swali hilo hilo kwa mara ya pili huku akifukua Comments za nyuma.
Sasa wngn tukisema tuwaeleweshe watu kama hawa ndio nyie mnakuja kusema humu kuna watu wana kibri na ujuaji.
 
Tusamehane.

Sisi tuliosoma saikolojia tunaelewa hizi mambo.

Sema ukiona Job inakuwa failed ni issue ya kupitia tena Unakuta mtu ana diploma ameweka advanced diploma.

Mwingine anaomba kazi hajasuit cheti cha form four.

Mwingine Haujaweka leseni.

Mwingine Ana diploma ya pharmacy amnbayo ni ordinary yeye anaweka advanced.

Kwenye Registration body kwa nurse chagua TNMC ,kwa madaktari ,co chagua MCT
 
🤝
 
Mimi si sehemu ya mfumo wa ajira zenu
Unajua nyie mnajifanya sijui waajiri ningekuwa na uwezo ningekutukaa.

Unasema upo kwenye mfumo wa ajira ila nyie ndo wa kwanza kutengeneza mfumo wa ajira usioweza kutusaidia.

Kama mnakaa mnajadili et mtu akiomba tamisemi asiombe wizara kama utakuwa kweli basi nyie ni vilaza na hamna msaada wowote kwa vijana.

Mimi sijapata kazi bado unanipa masharti ya kuomba sehemu nyingine je nilikoomba una uhakika wa kunisaidia.

Wapumbavu sana mnaovaa makoti na kuhisi mmemaliza.

Mtaumwa na kutaka kuja hospital tutajua tutakachowafanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…