Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kuhusu Address, muongozo umeeleweka. Pia wawe tayari kwa mabadiliko ambayo yanaweza kutokea huko mbeleni.Hapana bro usichoke kusaidia.
Ila mm nawashauri vijana wenzangu waweke Address ambayo ndipo watakapofanyia usaili mana hakutakuwa na kurudi tena kuangalia mtahiniwa yuko wap ili kutoa majina kwa mara ya pili.
Bro, hv hutojisikia raha kama mtu humu akileta feedback ya kukushukuru kwa kumsaidia kufanya Application yake vyema? Kama hilo jambo litakufurahisha bc usichoke kuwasaidia vijana wnzko.
Muhimu ila sio lazima [emoji23] Mwifwa unakumbuka kuna comment yangu humu kwenye huu uzi nimefundisha watu khs apps za kutumia ili kufanikisha kuomba ajira bila wao kuingia gharama yoyote ht ya kupata mhuri wa mwanasheria?
Sasa kuna mtu akanifata pm na kunitumia 20k kutokana na ile comment yangu mana aliona n bora anipe hy pesa kuliko kupeleka kwa mwanasheria.
Hvy bro tusichoke kusaidiana
PSRS wakitangaza kitu ujue wako tayari kutekeleza hilo jambo, endapo wasipotangaza basi wahusika wajue kuwa address walizojaza ndizo zitatumika(zimetumiwa) kuwapangia vituo vya usahili