TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Wakuu vipi ule ujumbe wanaotuma email kwamba hongera umefanikiwa kuomba nafasi kada flani, je kila mtu anatumiwa na vipi usipopata huo ujumbe ni kwamba maombi hayajapokelewa?
Ht mm nna application moja hawajanitumia email kuwa maombi yamepokelewa ila za nyuma walinitumia, ila kama kwenye akaunti yako pameandikwa received bc wamepokea.
 
Ht mm nna application moja hawajanitumia email kuwa maombi yamepokelewa ila za nyuma walinitumia, ila kama kwenye akaunti yako pameandikwa received bc wamepokea.
Mimi nimetuma maombi ila email sikupata mpaka leo, kuna ndugu yangu mmoja nilimuombea usiku saa nne na ikawa received muda huo huo akapata email kutoka kwa katibu, na ni course moja
 
1000114191.jpg
1000114190.jpg
 
Referres n watu wanaoweza kutoa taarifa yako kielimu au kikazi sasa washikaji sio watu sahihi, tafuta waalimu wako wa chuo au kama uliwahi kujitolea mahali muandike boss wako
Akiandika watu muhimu kama wafanyakazi wa serikalini lakin ni course tofauti na yako na pia wako sehemu ambazo hujawahi fanyia kazi ,je hawa wanafaa? Mfano wewe ni daktari, lakin ukamuandika referees mfamasia wa hospital flani
 
N sawa.
Ila mfanyakazi hawezi kutoa ripoti yako ya kazini ila boss wako anaweza, kwahy mtu sahihi n boss.

Anyway, yote ya yote hawa refferes hawajawahi kutafutwa.
 
Back
Top Bottom