Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Yes sio lazimaAhsante chief kwahiyo ni option kuiweka sio lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes sio lazimaAhsante chief kwahiyo ni option kuiweka sio lazima.
Wakuu vipi ule ujumbe wanaotuma email kwamba hongera umefanikiwa kuomba nafasi kada flani, je kila mtu anatumiwa na vipi usipopata huo ujumbe ni kwamba maombi hayajapokelewa?Yes sio lazima
Ht mm nna application moja hawajanitumia email kuwa maombi yamepokelewa ila za nyuma walinitumia, ila kama kwenye akaunti yako pameandikwa received bc wamepokea.Wakuu vipi ule ujumbe wanaotuma email kwamba hongera umefanikiwa kuomba nafasi kada flani, je kila mtu anatumiwa na vipi usipopata huo ujumbe ni kwamba maombi hayajapokelewa?
Sio lazima mm hawanitumiagiHt mm nna application moja hawajanitumia email kuwa maombi yamepokelewa ila za nyuma walinitumia, ila kama kwenye akaunti yako pameandikwa received bc wamepokea.
Hawakutumiagi na inakuwa received na interview jina linakuwepo? Tusije kuwa tumeshatemwa😂😂😂Sio lazima mm hawanitumiagi
Vyote na oral nishafanya.Hawakutumiagi na inakuwa received na interview jina linakuwepo? Tusije kuwa tumeshatemwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimetuma maombi ila email sikupata mpaka leo, kuna ndugu yangu mmoja nilimuombea usiku saa nne na ikawa received muda huo huo akapata email kutoka kwa katibu, na ni course mojaHt mm nna application moja hawajanitumia email kuwa maombi yamepokelewa ila za nyuma walinitumia, ila kama kwenye akaunti yako pameandikwa received bc wamepokea.
🙏🙏🙏Asante mkuu nikajua ndo basi tenaVyote na oral nishafanya.
WekaWakuu ,,, hapa kwenye ma- referee si naweza kuweka hata washikaji zangu nao waamini sana ??
Referres n watu wanaoweza kutoa taarifa yako kielimu au kikazi sasa washikaji sio watu sahihi, tafuta waalimu wako wa chuo au kama uliwahi kujitolea mahali muandike boss wakoWakuu ,,, hapa kwenye ma- referee si naweza kuweka hata washikaji zangu nao waamini sana ??
Sawa 😂Weka
Akiandika watu muhimu kama wafanyakazi wa serikalini lakin ni course tofauti na yako na pia wako sehemu ambazo hujawahi fanyia kazi ,je hawa wanafaa? Mfano wewe ni daktari, lakin ukamuandika referees mfamasia wa hospital flaniReferres n watu wanaoweza kutoa taarifa yako kielimu au kikazi sasa washikaji sio watu sahihi, tafuta waalimu wako wa chuo au kama uliwahi kujitolea mahali muandike boss wako
N sawa.Akiandika watu muhimu kama wafanyakazi wa serikalini lakin ni course tofauti na yako na pia wako sehemu ambazo hujawahi fanyia kazi ,je hawa wanafaa? Mfano wewe ni daktari, lakin ukamuandika referees mfamasia wa hospital flani
N sawa.
Ila mfanyakazi hawezi kutoa ripoti yako ya kazini ila boss wako anaweza, kwahy mtu sahihi n boss.
Tar 20/7Wakuu nawakumbusha, mwisho wa kufanya application ni kesho..do the needful
kwan ww mgen na utumish?Tar 20/7