TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Hapo unaandika mwaka ulipata leseni hadi itakapo expire
 
Written huwa zinakunjwa sana tena mkiwa wengi 😂
Nina uzoefu na hizo interview mkuu..wanaweza wasikunje paper..mkajikuta mmefaulu wengi marks za juu,wao wanacho kifanya ni kuweka cutting ✂️ point kubwa.

Let say watachukua kuanzia 90-100% ndo mtaenda oral..na kada nyingine kama wamefeli sana unakuta wanawawekea cutting ✂️ point ndogo let say kuanzia 60-100%
 
👊
 
Tangu mwaka uliopata hiyo leseni hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…