Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
- Thread starter
- #561
Hapo unaandika mwaka ulipata leseni hadi itakapo expireOk Mwifa na wanajumuia wengina nina swali kwenu kwenye mfumo kwa wale ambao tupo kwenye mabaraza na tuna leseni kuna sehemu ya proffesional qualification ambapo tunapaswa kuiattach leseni.
Mfano, mimi nipo chini ya HLPC kwenye professional qualifiacation nahitajika kujaza from.....to....
Nauliza napaswa kujaza miaka ipi, je ni tokea naanza chuo hadi sasa au najaza miaka ipi?
Msaada ili nikaedit kabla wakuu wa wakuu hawajapiga lock
Natanguliza shukrani[emoji120]