TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Ok Mwifa na wanajumuia wengina nina swali kwenu kwenye mfumo kwa wale ambao tupo kwenye mabaraza na tuna leseni kuna sehemu ya proffesional qualification ambapo tunapaswa kuiattach leseni.

Mfano, mimi nipo chini ya HLPC kwenye professional qualifiacation nahitajika kujaza from.....to....

Nauliza napaswa kujaza miaka ipi, je ni tokea naanza chuo hadi sasa au najaza miaka ipi?

Msaada ili nikaedit kabla wakuu wa wakuu hawajapiga lock

Natanguliza shukrani[emoji120]
Hapo unaandika mwaka ulipata leseni hadi itakapo expire
 
Written huwa zinakunjwa sana tena mkiwa wengi 😂
Nina uzoefu na hizo interview mkuu..wanaweza wasikunje paper..mkajikuta mmefaulu wengi marks za juu,wao wanacho kifanya ni kuweka cutting ✂️ point kubwa.

Let say watachukua kuanzia 90-100% ndo mtaenda oral..na kada nyingine kama wamefeli sana unakuta wanawawekea cutting ✂️ point ndogo let say kuanzia 60-100%
 
👊
 
Ok Mwifa na wanajumuia wengina nina swali kwenu kwenye mfumo kwa wale ambao tupo kwenye mabaraza na tuna leseni kuna sehemu ya proffesional qualification ambapo tunapaswa kuiattach leseni.

Mfano, mimi nipo chini ya HLPC kwenye professional qualifiacation nahitajika kujaza from.....to....

Nauliza napaswa kujaza miaka ipi, je ni tokea naanza chuo hadi sasa au najaza miaka ipi?

Msaada ili nikaedit kabla wakuu wa wakuu hawajapiga lock

Natanguliza shukrani[emoji120]
Tangu mwaka uliopata hiyo leseni hadi sasa
 
Thanks Mkuu Leseni Yangu Nimeipata 2024

Sioni sehemu ya Expiring hii inakuaje boss
from 2024 to 2024
IMG_20240719_175317_900.jpg
 
Back
Top Bottom