TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Kuanzia kesho tutashuhudia uzi nyingi zikianzishwa na ndugu wenzetu waalimu kuhusu huu mfumo wa ajira Portal, nashauri Moderator kuunganisha uzi hizo kwenye huu uzi mana una maswali yote pamoja na majibu.
 
I mean watu 11,000 ndio nafasi zote za kazi naona kama ni kundi kubwa sana kuwafanyia interview kumbuka wanaohitajika ni walimu 11,000

let say watakaoapply ni 22,000
je hawa watu wataweza kuwafanyia interview?

Mawazo ya usiku haya😁though lolote litokee watu wakakandwe tu kubabakeeee
 
Walimu wasiokuwa na ajira ni zaidi ya laki 2.5 wote watafanyiwa usaili kwenye wilaya na mikoa yao, written interview itachomoa wengi na kubakisha wachache.
 
Ingawaje mchakato huu utaigharamu serikali pesa nyingi sana, afya na elimu ina watu wengi wasio na ajira kuwafanyisha interview serikali itatumia gharama kubwa sana lakini itakuwa gharama nyingine kubwa kwa waombaji.
 
Ingawaje mchakato huu utaigharamu serikali pesa nyingi sana, afya na elimu ina watu wengi wasio na ajira kuwafanyisha interview serikali itatumia gharama kubwa sana lakini itakuwa gharama nyingine kubwa kwa waomba
wanafanya kwa kompyuta nadhani na kikanda
 
nimefurahi sana 😅😅😅😅😅😅😅

fairplay sio sisi tu tunakandwa deileee
Wanaanza wa afya, nikisikia kuna usaili aisee nitafurahi knoma 😂 watu wakapambanie tonge huko hakuna cha mteremko
 
Back
Top Bottom