Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Mkuu cv uliyoandika automatic kwenye mfumo ndiyo wanayoitumia kwa kila kazi unayoomba kwa kuangalia kozi uliyosomaWakuu, ikiwa unataka kuapply kazi mbili tofauti, ukisha apply kazi ya kwanza kwenye kipengele cha CV, ile CV unadelete au unaedit ? Ili uweke CV ya kazi ya pili.
Mwifwa
πππ This is golden yearWakuu, kama nitakuwa sahihi bc nadhani sasa hv ajira zimetoka sana labla kutokana na uchaguzi, sasa wakuu ikifika 2025 miezi ya katikati hapo kama bado tutakuwa hatuna salary slip aisee turudi nyumban Kwa wazazi wetu wakatushike kichwa π
Wa Afya mjiandae kwa mkandoView attachment 3079431Sijaelewa ni kuwa unachagua mkoa wa kufanyia au?
Hapo ndio kipengele sijui wanatoa lini hayo majinaSasa kazi itakuwa sio kufanya interview Bali jina kuwepo na kuitwa kwenye interview
Nikajuaga we mtu mzima πSafi sana, nimefurahi sana π
Tatizo nn mkuu πAf n
Nikajuaga we mtu mzima π
Sasa watoto wangu wanahusika vp na usaili?Una watoto?
Watoto tenaSasa watoto wangu wanahusika vp na usaili?
Watahiniwa wanatafuta chaka la kujificha π sasa Interview wanaanza kuleta habari ety Mm sina watoto πWatoto tena
Kwani sio mzima?πAf n
Nikajuaga we mtu mzima π
Hiyo furaha Yako itagusa na kutembelea vizazi vyetu wote pamoja na ww ukiwemo na hali itazidi Kuwa mbaya zaid miaka inavoenda we furahia tuSafi sana, nimefurahi sana π
Mimi nadhani wewe ndo hujielewi hapa,unahisi waliosoma kada zingine tofauti na hao walimu na manesi ni manyumbu? Wafanyishwe tu usaili ila walimu na manesi wapite tu kitonga? hizo changamoto ulizisema hapo wanapitia wote bila kujali kasoma taaluma gani? Na wote fanilia ni zile zile tu ,kusoma ualimu au afya ni mapenzi ya mtu wala haimtafsiri kwamba kada zingine za watu wanaotoka kipato cha juu ila kada za elimu na afya ni wakulimaUnafurahia taabu za watoto wa wakulima ambao wamehitimu miaka mingi iliyopita na wenzao waliohitimu nao wamepata ajira zamani kiurahisi ila wenyewe wanakuja kuambulia interview na uhakika wa kupata ajira haupo... wengine wameamua kuendelea na biashara ndogo ndogo na wengine kutokana na umri kwenda walianzisha familia wengine ni wajawazito , wengine wako labour muda huu , wengine hiyo siku ya interview watakuwa labour, wengine Wana watoto wachanga sasa sijui unachofurahia we ni kitu gani..we ni kama vile ushamaliza Kila kitu ndo maana nakuuliza unawatoto ambao siku moja watafanya interview au labda unamiradi tyr na pesa umewekeza Kwa ajili ya watoto wako..
Unazingua ww acha kila kada washindanishwe kama wengine,nowadays graduate ni wenge, nafasi ni chache lazima mshindane kwa usaili kupata nafasiHiyo furaha Yako itagusa na kutembelea vizazi vyetu wote pamoja na ww ukiwemo na hali itazidi Kuwa mbaya zaid miaka inavoenda we furahia tu
Kwahy hasira yote hy n kutokana na Interview tuu π bado hujasemaHiyo furaha Yako itagusa na kutembelea vizazi vyetu wote pamoja na ww ukiwemo na hali itazidi Kuwa mbaya zaid miaka inavoenda we furahia tu
Wote mnafanya usaili hakuna cha umemaliza lini, tulieni mfanye usaili safari h hakuna beba beba hovyo.Unafurahia taabu za watoto wa wakulima ambao wamehitimu miaka mingi iliyopita na wenzao waliohitimu nao wamepata ajira zamani kiurahisi ila wenyewe wanakuja kuambulia interview na uhakika wa kupata ajira haupo... wengine wameamua kuendelea na biashara ndogo ndogo na wengine kutokana na umri kwenda walianzisha familia wengine ni wajawazito , wengine wako labour muda huu , wengine hiyo siku ya interview watakuwa labour, wengine Wana watoto wachanga sasa sijui unachofurahia we ni kitu gani..we ni kama vile ushamaliza Kila kitu ndo maana nakuuliza unawatoto ambao siku moja watafanya interview au labda unamiradi tyr na pesa umewekeza Kwa ajili ya watoto wako..
Hawa wapuuzi wanajiona special sana kwamba wao hawatakiwi kufanya Interview.Mimi nadhani wewe ndo hujielewi hapa,unahisi waliosoma kada zingine tofauti na hao walimu na manesi ni manyumbu? Wafanyishwe tu usaili ila walimu na manesi wapite tu kitonga? hizo changamoto ulizisema hapo wanapitia wote bila kujali kasoma taaluma gani? Na wote fanilia ni zile zile tu ,kusoma ualimu au afya ni mapenzi ya mtu wala haimtafsiri kwamba kada zingine za watu wanaotoka kipato cha juu ila kada za elimu na afya ni wakulima
Acha mawazo kizamani hayo