TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Wakuu, kama nitakuwa sahihi bc nadhani sasa hv ajira zimetoka sana labla kutokana na uchaguzi, sasa wakuu ikifika 2025 miezi ya katikati hapo kama bado tutakuwa hatuna salary slip aisee turudi nyumban Kwa wazazi wetu wakatushike kichwa 😎
 
😁😁 zinaendelea kumwagwa huko ajira portal kazi kwetu
 
Wakuu walio wahi kufanya interview ajira za bunge kada yoyote ile waje hapa watoe muongozo😊kuhusu maswali yanayoulizwa uko, je wanauliza maswali kulingana na kada husika hususani kwenye written? Au ni maswali ya kibunge bunge?
 
Watu wa Afya na walimu nao wanaingizwa kwenye mambo ya interview?
Kazi ipo

Mwendo wa kuchoma nauli
 
Back
Top Bottom