Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Mkuu cv uliyoandika automatic kwenye mfumo ndiyo wanayoitumia kwa kila kazi unayoomba kwa kuangalia kozi uliyosomaWakuu, ikiwa unataka kuapply kazi mbili tofauti, ukisha apply kazi ya kwanza kwenye kipengele cha CV, ile CV unadelete au unaedit ? Ili uweke CV ya kazi ya pili.
Mwifwa
Achana na mambo ya kuangaika kuattach cv tofauti na uliyojaza kwenye mfumo automaic hawana muda nayo
Mimi akaunt yangu ina miaka 5 sijawahi weka cv yoyote tofauti na ile automatic ya ajiraportal ambayo tunajazia umo
na application zote ninazotuma naitwa