Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Walimu wa TEHAMA kufanya practical ni lazimaHawa wapuuzi wanajiona special sana kwamba wao hawatakiwi kufanya Interview.
Utumishi shikilieni hapo hapo, wakimaliza Written interview wafanye na practical then oral interview π₯π₯
Haya kama n wito nenda ukafanye bure bila mshaharaUalimu na afya ni wito kukesha na wagonjwa ambao wanaweza Kuwa ndugu zako tena kwenye mazingira magumu sio mchezo usiwashushe thamani yao.. tofauti na wewe uliesomea uhasibu
Haya utaajiriwa bila interview πNi special sana ndio...
Utakufa kwa stress this moment πNani kakudanganya Kuwa hakuna kubebana ?
Hawa hawa utumishi nao wajua labda ukafanye kazi tra mtoto wa bwanyenyeNa ndio itakavokuwa sitaenda kwenye interview lkn ajira nitapata. π€£ π€£
Usikate tamaa amini mda wako unakuja, Afu jifunze kutokana na makosa waulize walio toboa wanajibu Vp maswaliNimeshafanya interview 3 had oral na sijawahi kupata kazi so vinakatisha tamaa tu
Toka saa tano,nendeni mkajicheki watumishiTuingie kwenye account zetu ,teali wametoa majina
Kivipi ilikuaje?Hii ndo mbaya , interview ya NEC tu wanesahihisha majina sembuse hii , hapa ni mwendo wa tuma kias Fulani jina tuliweke
Ya afya auHayo majina yanaonekana kwennye account ya utumishi au Tamisemi maana account yangu ya ajira portal haina mabadiliko yyte
NdioYa afya au
HujachanguliwaHayo majina yanaonekana kwennye account ya utumishi au Tamisemi maana account yangu ya ajira portal haina mabadiliko yyte
Kimewaka π₯π₯Hujachanguliwa
Status inasemaje Kwan mana hata usipochaguliwa wanatoa sababu pia kama unaona akuna chochote kilichoandikwa vuta subra mida mida wataupdate au kama auwezi wapigie simu watakijibu nn shidoHayo majina yanaonekana kwennye account ya utumishi au Tamisemi maana account yangu ya ajira portal haina mabadiliko yyte
Kwenye my application utaona kama shortilisted au lah kama lah basi utaona na reason ya kutokua shortlistedHayo majina yanaonekana kwennye account ya utumishi au Tamisemi maana account yangu ya ajira portal haina mabadiliko yyte