TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Hayo majina yanaonekana kwennye account ya utumishi au Tamisemi maana account yangu ya ajira portal haina mabadiliko yyte
Status inasemaje Kwan mana hata usipochaguliwa wanatoa sababu pia kama unaona akuna chochote kilichoandikwa vuta subra mida mida wataupdate au kama auwezi wapigie simu watakijibu nn shido
 
Back
Top Bottom