Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Walimu wa TEHAMA kufanya practical ni lazimaHawa wapuuzi wanajiona special sana kwamba wao hawatakiwi kufanya Interview.
Utumishi shikilieni hapo hapo, wakimaliza Written interview wafanye na practical then oral interview 🔥🔥