TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Bado ana usaili akichemka hapati kazi
Ila kuna mikoa itakua na ushindani mkubwa na mingine ushindane kidogo kulingana na uwingi wa candidates
Hy n kawaida, n sawa na tanesco watangaze kazi na uombe unajua kabisa n tanesco ndio waajiri
 
Kuna dogo hapa anasema aliomba Dar na Moro anashangaa wamemuekea Mtwara na Iringa. Hii nayo iko vipi wakuu.
 
Hii ya kumfanyisha usahili mtahiniwa mkoa alioomba Ina maana Gani mbona binafsi sielew? Mbona naona kama kutiana gharama zisizo na msingi?
 
Hii nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…