TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Unaipangia serikali una aamini haiwezi kuwa na computer.
Stashahada wote computer haziwahusu pamoja na Astashahada.
Screenshot_20240829-215741.jpg
 
Bado ana usaili akichemka hapati kazi
Ila kuna mikoa itakua na ushindani mkubwa na mingine ushindane kidogo kulingana na uwingi wa candidates
Hy n kawaida, n sawa na tanesco watangaze kazi na uombe unajua kabisa n tanesco ndio waajiri
 
Bado sio kitonga huo mkoa unawafanyisha usaili kama kawaida
Ila naona wapo ambao mikoa yao haitakuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa na candidate wachache😂😂
Sasa jitu linaacha kuonbea kigoma buhigwe linaombea dar lazima ukutane na nyomi😀
Kuna dogo hapa anasema aliomba Dar na Moro anashangaa wamemuekea Mtwara na Iringa. Hii nayo iko vipi wakuu.
 
Hii ya kumfanyisha usahili mtahiniwa mkoa alioomba Ina maana Gani mbona binafsi sielew? Mbona naona kama kutiana gharama zisizo na msingi?
 
Habari.

Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.

Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview.

Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira.

Zipo kada mbalimbali nazo ni.

1. TABIBU MSAIDIZI(CLINICAL ASSISTANT)-639
2. AFISA LISHE
3. MUUGUZI II -2282
4. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI 1016
5. MFAMASIA DARAJA LA PILI (PHARMACIST)-128
6. TABIBU KINYWA NA MENO(DENTAL THERAPIST)-210
7. MSAIDIZI WA AFYA -1057
Jumla.
8. AFISA AFYA MAZINGIRA
DARAJA LA PILI(ENVIROMENTAL OFFICER II)-124
9. KATIBU WA AFYA-41
10. FIZIOTHERAPIA II -83
11. MTEKNOLOJIA MENO DARAJA LA II -3
12. AFISA PHYSIOTHERAPY II-11
13. AFISA MUUGUZI DARAJA LA PILI-301
14. AFISA MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA LA PILI-57
15. DAKTARI BIGWA WA MAGONJA YA NDANI -7
16. MTEKNOLOJIA MSAIDIZI RADIOLOJIA -15
17. AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA PILI -124

Karibuni kwa kujadili.

Kusaidiana jinsi ya kuomba.

Walimu mjiandae.

====

Kupata tangazo kamili na namna ya kuomba nafasi hizo soma: Nafasi za kazi Kada za Afya TAMISEMI Julai, 2024
Hii nzuri!
 
Back
Top Bottom