Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Stashahada wote computer haziwahusu pamoja na Astashahada.Unaipangia serikali una aamini haiwezi kuwa na computer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stashahada wote computer haziwahusu pamoja na Astashahada.Unaipangia serikali una aamini haiwezi kuwa na computer.
Walipoajiriwa?Kwa mnaofanya Oral interview tu mkaangalie Account zenu kipengele Cha my application Sehemu ya Employer mtaona mlipoajiriwa.
Ndiyo EMPLOYER imebadilika from MDA's and LGA's to EMPLOYER Mkoa XWalipoajiriwa?
mbona kitonga sanaNdiyo EMPLOYER imebadilika from MDA's and LGA's to EMPLOYER Mkoa X
Ah bc unyamaNdiyo EMPLOYER imebadilika from MDA's and LGA's to EMPLOYER Mkoa X
Kuna watu wanafanya oral tu? Ni wepi hao?Kwa mnaofanya Oral interview tu mkaangalie Account zenu kipengele Cha my application Sehemu ya Employer mtaona mlipoajiriwa.
Na imekuwaje wengine kufanya oral tu, na wengine vyote kwa pamoja?Kuna watu wanafanya oral tu? Ni wepi hao?
Kwahy unaona wivu auNa imekuwaje wengine kufanya oral tu, na wengine vyote kwa pamoja?
Bado sio kitonga huo mkoa unawafanyisha usaili kama kawaidambona kitonga sana
😂😂Kwahy unaona wivu au
Bado ana usaili akichemka hapati kaziAh bc unyama
Hy n kawaida, n sawa na tanesco watangaze kazi na uombe unajua kabisa n tanesco ndio waajiriBado ana usaili akichemka hapati kazi
Ila kuna mikoa itakua na ushindani mkubwa na mingine ushindane kidogo kulingana na uwingi wa candidates
Kuna dogo hapa anasema aliomba Dar na Moro anashangaa wamemuekea Mtwara na Iringa. Hii nayo iko vipi wakuu.Bado sio kitonga huo mkoa unawafanyisha usaili kama kawaida
Ila naona wapo ambao mikoa yao haitakuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa na candidate wachache😂😂
Sasa jitu linaacha kuonbea kigoma buhigwe linaombea dar lazima ukutane na nyomi😀
Inamaana huko alikopelekwa ndio kuna uhitaji mkubwa mwache akaanzie huko mkuuKuna dogo hapa anasema aliomba Dar na Moro anashangaa wamemuekea Mtwara na Iringa. Hii nayo iko vipi wakuu.
Sio mbaya cha muhimu kwanza apate kaziInamaana huko alikopelekwa ndio kuna uhitaji mkubwa mwache akaanzie huko mkuu
Si uliomba mwenyeweHii ya kumfanyisha usahili mtahiniwa mkoa alioomba Ina maana Gani mbona binafsi sielew? Mbona naona kama kutiana gharama zisizo na msingi?
Hii nzuri!Habari.
Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.
Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview.
Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira.
Zipo kada mbalimbali nazo ni.
1. TABIBU MSAIDIZI(CLINICAL ASSISTANT)-639
2. AFISA LISHE
3. MUUGUZI II -2282
4. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI 1016
5. MFAMASIA DARAJA LA PILI (PHARMACIST)-128
6. TABIBU KINYWA NA MENO(DENTAL THERAPIST)-210
7. MSAIDIZI WA AFYA -1057
Jumla.
8. AFISA AFYA MAZINGIRA
DARAJA LA PILI(ENVIROMENTAL OFFICER II)-124
9. KATIBU WA AFYA-41
10. FIZIOTHERAPIA II -83
11. MTEKNOLOJIA MENO DARAJA LA II -3
12. AFISA PHYSIOTHERAPY II-11
13. AFISA MUUGUZI DARAJA LA PILI-301
14. AFISA MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA LA PILI-57
15. DAKTARI BIGWA WA MAGONJA YA NDANI -7
16. MTEKNOLOJIA MSAIDIZI RADIOLOJIA -15
17. AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA PILI -124
Karibuni kwa kujadili.
Kusaidiana jinsi ya kuomba.
Walimu mjiandae.
====
Kupata tangazo kamili na namna ya kuomba nafasi hizo soma: Nafasi za kazi Kada za Afya TAMISEMI Julai, 2024