Kama na wewe unaomba hizi kazi na hautapigiwa mhuri kwenye copy za vyeti vyako basi, utaikumbuka hiyo comment ya mdau...Sio lazima kwenda kwa mwanasheria.. vyeti vyenyewe vimethibitishishwa hakuna haja ya mwanasheria
Ingia Ajira portal kajisajili, fuata maelekezo yote ukimaliza utaweza kuapplyHata nimeshindwa kuelewa jinsi ya ku apply nisaidieni
kwa hy mkuu unataka kusemaje ?Ajira za awamu hii sio za kutegemea !huwa wanatangaza tu halafu zinayeyuka!hata mwaka jana nakumbuka ilikua hivi hivi!!
hiv ukiwa na account inahitaji uunde account nyingine hapo baadae au ni hii moja tu?Ingia Ajira portal kajisajili, fuata maelekezo yote ukimaliza utaweza kuapply
Bora wangetoa kama zinavyotokaga sikuzote dahIngia Ajira portal kajisajili, fuata maelekezo yote ukimaliza utaweza kuapply
Zimepita utumishi na utaomba kupitia ajira portalSource ni gan mbona kwa page zao halipo tangazo na kwa website? Au ww n generation Z?
Hujiamini?? Kwa nini unaogopa interview??Habari.
Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.
Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview.
Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira.
Zipo kada mbalimbali nazo ni.
1. TABIBU MSAIDIZI(CLINICAL ASSISTANT)-639
2. AFISA LISHE
3. MUUGUZI II -2282
4. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI 1016
5. MFAMASIA DARAJA LA PILI (PHARMACIST)-128
6. TABIBU KINYWA NA MENO(DENTAL THERAPIST)-210
7. MSAIDIZI WA AFYA -1057
Jumla.
8. AFISA AFYA MAZINGIRA
DARAJA LA PILI(ENVIROMENTAL OFFICER II)-124
9. KATIBU WA AFYA-41
10. FIZIOTHERAPIA II -83
11. MTEKNOLOJIA MENO DARAJA LA II -3
12. AFISA PHYSIOTHERAPY II-11
13. AFISA MUUGUZI DARAJA LA PILI-301
14. AFISA MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA LA PILI-57
15. DAKTARI BIGWA WA MAGONJA YA NDANI -7
16. MTEKNOLOJIA MSAIDIZI RADIOLOJIA -15
17. AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA PILI -124
Karibuni kwa kujadili.
Kusaidiana jinsi ya kuomba.
Walimu mjiandae.
Never😀😀😀 wanatrack nida yako babu nida inatumika mara moja na kwa acc mojaHv inawezekana kuomba kazi ya aina Moja ila kwa mikoa tofauti?
fact fact fact👊👊👊Kila mtu ana muda wake mkuu...kutangazwa kwa ajira sio kupata, muda wako unakuja mkuu kuwa Na subira...halafu nikuambie kitu Hawa walio wengi ni wadogo zetu..mwaka jana mdogo wangu anaenifuata akiwa ni watano amepata ajira, Mimi huu ni mwaka wa nane Na sote tumesoma kada moja ya afya sioni sababu ya kuwa Na chuki naamini ipo siku wakati wetu bado mkuu,
Ni hiyo hiyo sababu unatumia NIDA na hautaweza kufungua tena nyingine na NIDA hiyo hiyo.hiv ukiwa na account inahitaji uunde account nyingine hapo baadae au ni hii moja tu?
ahaa mimi nimefungua account tuNi hiyo hiyo sababu unatumia NIDA na hautaweza kufungua tena nyingine na NIDA hiyo hiyo.
Kama kuna changamoto zingine inabidi utafute msaada kwa PSRS
Unatafuta ugomvi na mwashambwa na tlah tlaaaahMuda si mrefu chawa wakiamka utasikia
Serikali ya mama yamwaga ajira kwa mamilioni ya watanzania
Wananchi walia vilio vya furaha na kububujikwa machozi
Mama ameaandika tena historia nyingine ya kipekee haijawahi kutokea tangu tupate uhuru.
Hivi ndio vizuri hapatakuwa na malalamiko.Bora wangetoa kama zinavyotokaga sikuzote dah
Anaogopa interview huyo maana haijazoeleka kada za ualimu na afya kuletwa psrs wamezoea kitonga anapangwa tu burebure😀Hivi ndio vizuri hapatakuwa na malalamiko.
Ukishindwa interview hauna mtu wa kumlalamikia na utaweza kugeukia mishe zingine ingali mapema.
Sema unaogopa interview😁😁😁 unapenda zile za zoa zoaBora wangetoa kama zinavyotokaga sikuzote dah
Ukiomba mara moja kote inakuandika applied…Ili ndo Swali hata mm najiuliza ?
Hujaelewa swali.Never😀😀😀 wanatrack nida yako babu nida inatumika mara moja na kwa acc moja