TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Habari.

Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.

Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview.

Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira.

Zipo kada mbalimbali nazo ni.

1. TABIBU MSAIDIZI(CLINICAL ASSISTANT)-639
2. AFISA LISHE
3. MUUGUZI II -2282
4. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI 1016
5. MFAMASIA DARAJA LA PILI (PHARMACIST)-128
6. TABIBU KINYWA NA MENO(DENTAL THERAPIST)-210
7. MSAIDIZI WA AFYA -1057
Jumla.
8. AFISA AFYA MAZINGIRA
DARAJA LA PILI(ENVIROMENTAL OFFICER II)-124
9. KATIBU WA AFYA-41
10. FIZIOTHERAPIA II -83
11. MTEKNOLOJIA MENO DARAJA LA II -3
12. AFISA PHYSIOTHERAPY II-11
13. AFISA MUUGUZI DARAJA LA PILI-301
14. AFISA MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA LA PILI-57
15. DAKTARI BIGWA WA MAGONJA YA NDANI -7
16. MTEKNOLOJIA MSAIDIZI RADIOLOJIA -15
17. AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA PILI -124

Karibuni kwa kujadili.

Kusaidiana jinsi ya kuomba.

Walimu mjiandae.
Hujiamini?? Kwa nini unaogopa interview??
 
Kila mtu ana muda wake mkuu...kutangazwa kwa ajira sio kupata, muda wako unakuja mkuu kuwa Na subira...halafu nikuambie kitu Hawa walio wengi ni wadogo zetu..mwaka jana mdogo wangu anaenifuata akiwa ni watano amepata ajira, Mimi huu ni mwaka wa nane Na sote tumesoma kada moja ya afya sioni sababu ya kuwa Na chuki naamini ipo siku wakati wetu bado mkuu,
fact fact fact👊👊👊
 
Back
Top Bottom