Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Mkuu huu mfumo sio kama TAMISEMI kwamba ukiomba tu unasubiri upangiwe hapana,hapa ukifanikiwa kuwa shortlisted unaitwa kwenye usaili wa kuandika (written) then oral washindi wa nafasi huwa wanapatikana baada ya usaili kuogea yaani oral,hivyo nafasi ata ikowa 1 au 5 kama ulivosema mtaomba ata elf 5 na mnaweza kuitwa kwenye usaili wote kama sifa mnazo ili mkashindaneNa huu mfumo wa maombi utumishi ukoje? Mfano Dar Kuna nafasi 5 Ina maana wakiomba watu wa5 ndio inakulazimu uombe kwingine kwenye nafas ama ndio mnaomba tu ila wao ndio watachagua wanaowahitaji kwa mkoa husika?
Ahsante sana mkuu umeandika vyema sanaMkuu huu mfumo sio kama TAMISEMI kwamba ukiomba tu unasubiri upangiwe hapana,hapa ukifanikiwa kuwa shortlisted unaitwa kwenye usaili wa kuandika (written) then oral washindi wa nafasi huwa wanapatikana baada ya usaili kuogea yaani oral,hivyo nafasi ata ikowa 1 au 5 kama ulivosema mtaomba ata elf 5 na mnaweza kuitwa kwenye usaili wote kama sifa mnazo ili mkashindane
Ni mitihani ni zile UE maambo uliyosoma darasani lakini itategemea na job desrcription ya kada uliyoomba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umetisha mkuu aiseeeeMuda si mrefu chawa wakiamka utasikia
Serikali ya mama yamwaga ajira kwa mamilioni ya watanzania
Wananchi walia vilio vya furaha na kububujikwa machozi
Mama ameaandika tena historia nyingine ya kipekee haijawahi kutokea tangu tupate uhuru.
Upigaji tu. Kwani Kuna umuhimu gani na ulazima upi wa ku certify vyeti? Technology na mambo ya kizamani Sana. Upo Karne ya 21 lakn unaishi kama upo Karne ya 19 huko. Ondoeni hicho kigezo Cha ku certify vyeti.Kila taaluma ina umuhimu wake.
Hili la service charge halikwepeki.
Kaongeze education qualification inawezekana umeishia kuweka qualification ya Form 6Mimi inaniandikia application failed nifanyeje anaefaham wakuu na nina 100 percent na kila kitu kipo
Hamna namna, kama uko interested na hizo nafasi, certify vyeti omba.Upigaji tu. Kwani Kuna umuhimu gani na ulazima upi wa ku certify vyeti? Technology na mambo ya kizamani Sana. Upo Karne ya 21 lakn unaishi kama upo Karne ya 19 huko. Ondoeni hicho kigezo Cha ku certify vyeti.
Sijapinga. Nataka umuhimu na ulazima wa kufanya hivyo ukiondoa kutengenezea mawakili na wanasheria upigaji wa nje nje.Hamna namna, kama uko interested na hizo nafasi, certify vyeti omba.
Kama hauko interested, acha wengine wafanye na usiwahadae kwa mtazamo wako.
Pia acha mawakili/wanasheria nao wapate za kumwagilia moyo.
Kingine, kama taalauma yako haiwezi kukuingizia hela moja kwa moja au siyo moja kwa moja lazima uone nongwa kwa wale ambao wanaweza kupata za kubrashia kupitia taaluma zao kwa urahisi.
Binafsi naheshimu taaluma za watu na huwa sioni shida kulipia huduma inayotokana na taaluma ya mtu
Nimemfanyia rafiki yangu Application leo.Na huu mfumo wa maombi utumishi ukoje? Mfano Dar Kuna nafasi 5 Ina maana wakiomba watu wa5 ndio inakulazimu uombe kwingine kwenye nafas ama ndio mnaomba tu ila wao ndio watachagua wanaowahitaji kwa mkoa husika?
Ukisema hiyo service charge haifai ndio kupinga kwenyeweSijapinga. Nataka umuhimu na ulazima wa kufanya hivyo ukiondoa kutengenezea mawakili na wanasheria upigaji wa nje nje.
Ahsante sana mkuu.Nimemfanyia rafiki yangu Application leo.
Tulijadili na jamaa yangu achague mikoa 5 then aombe hiyo mikoa.
Ila nilipoanza kuomba mkoa wa kwanza, nilipomaliza, zikaandika kwa pamoja kwenye nafasi zote mikoa yote kuwa ALREADY APPLIED then jina la Mwajiri likajitokeza ni MDAs and LGAs kule kwenye MY APPLICATIONS.
Kwa hiyo utakapoomba mara moja ndio imeisha hiyo, itabaki sasa utakapoitwa kwenye Interview na ukatusua, utaweza kupangiwa mkoa wowote au mkoa ulioomba wakati. wa ApplicationView attachment 3036746
Upigaji tu hamna umuhimu Wala ulazima wowote.Ukisema hiyo service charge haifai ndio kupinga kwenyewe
Ukisema hiyo service charge haifai ndio kupinga kwenyewe
Hapana, kwa Kikwete sikubaliani na wewe.Hii awamu kwa muda wa miaka hii mitatu na nusu imetoa ajira kuliko miaka yote ya kukwete mitano ya mwisho na magufuli.
Angalia vizuri jinsi ulivyojaza qualifications kama utabaini kosa rekebisha utaweza kuapplyMbona inanigomea Nina diploma na kazi Ina hitaji diploma mfumo unagoma