kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
ok namjibu sa hvApp inaitwaje? Uwe unataja na majina ili ajue na aofuate kudownload
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok namjibu sa hvApp inaitwaje? Uwe unataja na majina ili ajue na aofuate kudownload
😁kwa hiyo mfumo una soma hadi miaka daah😂😂madingi hawaruhusiwe kuomba
Mwisho miaka 45😂😂
ID PHOTOApp inaitwaje? Uwe unataja na majina ili ajue na aofuate kudownload
Sidhani kama wanawapigiwa lakin jitaidi umeweka mareferee watatu, kama wanavyotaka wao wasije wakakulima kichwa mapema, nasema hivi na ushahidi Kuna mwamba mmoja, aliliwa kichwa Kwa kutoweka refarees watatu yeye aliweka wawili tu ko jitahidi unaweka wote na details zao zote.Asante sana mkuu kwa majibu yako nashukuru baada ya kurudi kuangalia tena nimekuta tayari document nilizopakia zikiwa verified zikionekana
Swali langu la mwisho hivi hawa mareferee watatu ni kweli huwa wanapigiwa simu?
Maana kuna mareferee unaweza waweka kwa nia nzuri tu wakaamua kukukanda wakipigiwa simu badala ya kukupa maua yako.
Natanguliza shukrani
Sioni shida hapo!!!Habari za muda huu ,nimejaribu kurepost passport size niliyo attach kwenye profile yangu. Shinda ni kwamba kuna background inaonekana nyuma yenye rangi ya karatasi ya kaki mbali hii hii imekaaje? Iko sawa au hiyo background ya nyuma zaidi iyo ya kaki haikutakiwa hapo na nimefanya juu chini kubadilisha picha imegoma
Mkuu kumbuka passport inatakiwa kuwa na background ya blue ila huyu ina background ya kaki hilo ni tatizo tayariS
Sioni shida hapo!!!
Awasiliane na PSRS ili waifute hiyo qualification aliyoijaza kimakosa, then atajaza kwa usahihi na ataweza kuomba kaziKuna dingi ana diploma sehemu ya academic qualification kajaza advanced diploma
mfumo unamtema huyu anatokaje hapa?
ok asanteAwasiliane na PSRS ili waifute hiyo qualification aliyoijaza kimakosa, then atajaza kwa usahihi na ataweza kuomba kazi
Haiwezekani. Ukiapply sehemu moja...huwez kuapply kwingine tenaIli ndo Swali hata mm najiuliza ?
Hao mareferee wako wana taarifa kuwa umewaweka kwenye CV yako au umewaweka tu bila wao kuwa na taarifa? Kama wanataarifa hamna shida. Isije ikatokea wametafutwa wakasema hawakujui.Asante sana mkuu kwa majibu yako nashukuru baada ya kurudi kuangalia tena nimekuta tayari document nilizopakia zikiwa verified zikionekana
Swali langu la mwisho hivi hawa mareferee watatu ni kweli huwa wanapigiwa simu?
Maana kuna mareferee unaweza waweka kwa nia nzuri tu wakaamua kukukanda wakipigiwa simu badala ya kukupa maua yako.
Natanguliza shukrani
Ukitaka kuepuka kigezo cha umri basi hakikisha umefaulu alama za juu kuwapita walio kuzidi umri msilingane!Hapo kuna wengine tuna umri mdogo ila tumemaliza muda mrefu na tushapambana sana na ma interview hayo.
Kiuhalisia mimi ni mtu ambaye nina imani sana na utumishi.
Ila mara baada ya kufanya written kadhaa na oral Pasi na mafanikio hali iliyopelekea kuchukua sana hii michakato.
Kiukweli mimi sio kwamba naogopa interview ila Mfumo wa kuajiri utumishi umeniondolea imani.
Japokuwa referee Hua hawatafutwi Ila n muhimu sana kuwapa hy taarifa, mana huwez kujuaHao mareferee wako wana taarifa kuwa umewaweka kwenye CV yako au umewaweka tu bila wao kuwa na taarifa? Kama wanataarifa hamna shida. Isije ikatokea wametafutwa wakasema hawakujui.
Ngoja wajeNami najiuliza. Hivi kama kutakuwa na interview ambayo ni online interview itakuwaje maana watu wanajaza permanent address na pia currently place of residence. Je siku ya interview itakuwa mkoa Kwa mkoa au mtu na kifaa chake? Eg simu au portable computer (PC) au watu watahitajika kukusanyika makao makuu ya mkoa husika? Na kama ni makao makuu ya mkoa husika ikitokea umesafiri nje ya mkoa uliojaza (address yako) itakuhitaji urudi mkoa husika Kwa ajili ya interview? Msaada wakuu maana hapo nyuma Sekretarieti ya utumishi wa umma walizindua online interview ima kupunguza ama kuepusha gharama Kwa wasailiwa
Hapo wanaposema ku sign barua Kisha uambatanishe na vyeti vya taaluma sijaelewa naomba kufahamishwa.Hapo kwenye muhimu ongezea kuwa ni lazima.
Hizi ajira ni mpya tujiandae kwa lolote.Nami najiuliza. Hivi kama kutakuwa na interview ambayo ni online interview itakuwaje maana watu wanajaza permanent address na pia currently place of residence. Je siku ya interview itakuwa mkoa Kwa mkoa au mtu na kifaa chake? Eg simu au portable computer (PC) au watu watahitajika kukusanyika makao makuu ya mkoa husika? Na kama ni makao makuu ya mkoa husika ikitokea umesafiri nje ya mkoa uliojaza (address yako) itakuhitaji urudi mkoa husika Kwa ajili ya interview? Msaada wakuu maana hapo nyuma Sekretarieti ya utumishi wa umma walizindua online interview ima kupunguza ama kuepusha gharama Kwa wasailiwa
Usaili unaweza usiwepo.Sasa hicho kituo Cha usahili SI ndio kurundikana kwenyewe huko.
Hawa utumishi Wana mambo mengi sana mtu unaweza Kuta una sifa zote za kuomba ajira ukashindwa hata kufanya application.
Kwenye tangazo la ajira Kuna kipengele wanataka u sign barua ya maombi Kisha uiambatanishe na vyeti vya taaluma husika kupitia sanduku la posta walilotaja naomba ufafanuzi kidgo maana sijaelewa kwamba hivyo vyeti na barua vitumwe kwa njia ya posta badala ya online.Usaili unaweza usiwepo.
Kutuma maombi n online kwenye huo mfumo wao ila n lazima uandike hy SLP yao.Hapo wanaposema ku sign barua Kisha uambatanishe na vyeti vya taaluma sijaelewa naomba kufahamishwa.
Kwamba hivyo vyeti vya elimu pamoja na hiyo barua unaviambatanisha kwa kutuma kwenye anuani ya posta waliyoitaja ama vipi.