TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Nami najiuliza. Hivi kama kutakuwa na interview ambayo ni online interview itakuwaje maana watu wanajaza permanent address na pia currently place of residence. Je siku ya interview itakuwa mkoa Kwa mkoa au mtu na kifaa chake? Eg simu au portable computer (PC) au watu watahitajika kukusanyika makao makuu ya mkoa husika? Na kama ni makao makuu ya mkoa husika ikitokea umesafiri nje ya mkoa uliojaza (address yako) itakuhitaji urudi mkoa husika Kwa ajili ya interview? Msaada wakuu maana hapo nyuma Sekretarieti ya utumishi wa umma walizindua online interview ima kupunguza ama kuepusha gharama Kwa wasailiwa
Swali zuri sana mkuu.

Mkuu iko hivi usaili unafanyika mkoani kwa maana wana vituo maalumu vya kufanyia mirihani katika kila mkoa hivi vituo ni computer lab za vyuo mfano VETA,OUT, n.k utaratibu wa usimamizi ni ule ule kama ule wa paper based examination utakaguliwa vyeti na kusimamiwa na wasimamaizi zaidi ya mmoja ndani ya chumba cha mtihani

Computer ziko connected na mtandao na utakuta wamefungua mfumo wa mtihani yaani (Online aptitute test system ),kisha utaambiiwa u log in kwa kutumia password na username unayotumia kwenye akautn yako ya ajiraportal kwa hiyo hakikisha muda wote unaikumbuka username yako na password
Kisha muda ukifika mtaruhusiwa kuanza mtihani maana muda wa kuanza ni mmoja kwa nchi nzima kama ilivyo mitihani ya NECTA
Mfumo una display muda unaobaki mfano mtihani ni dk 50 kwa hiyo zitakuw zinaonekana kwa kupungua mfano,utakua unaona pale kwenye screen dk zilizobaki 49.48 ......mpka 0 ikitokea hujamaliza kujibu maswali yote na muda umeisha basi mtihnai una jisubmit automatically ila kama umemaliza unaweza kusubmit ata kabla ya muda kuisha kuna option ya kusubmit itakuja baada ya kumaliza swali la mwisho
Mtihani unafunguka wote na unaweza kuanza swali lolote kwenye mitihani kwa maana swali la kwanza au mwisho au la katikati,au vinginevyo kama ilivyo kwenye paper based exams
Unakuwa jna screw kupanda na kushuka kama unavofanya ukiwa unasoma document yenye pdf n.k pale kazi yako unacheza na mouse tu basi keybord unatumia kwenyebkulog in tu basi kazi yake inakuwa imeisha
Kujibu maswali unacheza na mouse tu maana una tick au kuselect jibu unaloona ni sahihi na linabadilika rangi kuwa kijani au blue kama sijakosea,na unaweza rudia ukabadilisha jibu kamw umejiridhisha umejaza pumba,mfumo unakubali kubadili jibu

Kama una saili zaidi ya moja mfumo unakuruhusu ufanye zote kwa siku hiyo ila utafanya wa kwanza baada ya kumaliza utasubiri mruhusiwe kuingia sesion ya pili maana muda wa kuanza ni mmoja kwa nchi nzima,kwa hiyo kama uko na interview nyingi siku hiyo unaweza kaa mpaka jioni kwa chumba cha mtihani maana hutoruhusiwa kutoka, pia mabegi na vitu vyote munavikusanya mbele kwenye meza unqbaki wewe na kompyuta yako

Kingine ukiwa kwenye mfumo wa online aptitude test hauruhusiwa kufungua tab nyingine pale kwenye browser ,ukifanya hivyo mfumo unakutema kwenye mtihani automaticaly kwa hiyo unakuwa umeaga mashindano
Kabla ya mtihani mnapewa dk 10 za kusoma maelekezo umo umo online then mtaambiwa muanze mtihani

Kawaida ni saa 1 yaani dk 60 ila wamegawa dk 10 za kusoma instruction na dk 50 za mtihani

Maswali hayapungue 40 kwa kada husika ,na yanaweza kuzidi inategemea na kada walivoona inafaa ila muda ni dk 60 (dk 10 kusoma instruction na dk 50 kufanya mtihani)

Matokeo unayapata siku hiy0 hiyo unawekewa kwenye akaunti yako ya ajiraportal kwamba selected for oral interview au not selected for oral interview

Online aptitude test ni mchujo tu ukifanikiwa kupita oral (usaili wa mahojiano) itafanyika dodoma ofisi za psrs au kwingineko watakako panga kutokana na kada husika

Kama bado una swali karibu
 
Hawana computer za kutosha watu wa afya labda tuandike yaani mfano morogoro unakuda wameomba diploma yabkad Fulani elfu 5 unadhani rahisi
 
Mtapangwa kwa session tu na mtafungiwa kwenye ukumbi yote inawezekana na ata sasa wanafanya hivyo,ni kama unavoona oral interview mnaenda wengi na qnaitwa mmoja wengine mnafugiwa kwenye ukumbi,ata huko itafanyoka hvyo inapobidi

Ata hvyo zipo kada wanazoambiwa wafanye paper based exams kituo kimoja mfano dodoma itategemeana na maamuzi ya wakati huo endeleaa na maamdalizi kiongozi hayo mengine waachie utumishi kikubwa uwepo kwenye shortlist
 
Asante Kwa ufafanuzi ulionyooka. Swali Moja haujafafanua/kujibu ambalo ni kwamba: mfano Mimi musangaa nimeomba nafasi ya daktari bingwa mkoa wa katavi nimejaza anuani yangu mkoa wa Mtwara, je interview itanihitaji niende mkoani katavi au niabaki hapo hapo Mtwara? Kumbuka hii ni online interview kama ulivyodadafua. Kama itanihitaji nifanyie huko huko Mtwara, naweza kwenda kwenye vituo vyao pendekezwa kulingana na watakavyoelekeza, je ikitokea nipo mkoani Mara nitatakiwa kusafiri kwenda Mtwara kwenye anuani niliyojaza au mfumo utanikubalia kusailiwa hata kama nitakuwa Mara huko huko Kwa nafasi ya daktari bingwa niliyoomba mkoa wa katavi?
 
Swali zuri sana mkuu.

Mkuu iko hivi usaili unafanyika mkoani kwa maana wana vituo maalumu vya kufanyia mirihani katika kila mkoa hivi vituo ni computer lab za vyuo mfano VETA,OUT, n.k utaratibu wa usimamizi ni ule ule kama ule wa paper based examination utakaguliwa vyeti na kusimamiwa na wasimamaizi zaidi ya mmoja ndani ya chumba cha mtihani

Computer ziko connected na mtandao na utakuta wamefungua mfumo wa mtihani yaani (Online aptitute test system ),kisha utaambiiwa u log in kwa kutumia password na username unayotumia kwenye akautn yako ya ajiraportal kwa hiyo hakikisha muda wote unaikumbuka username yako na password
Kisha muda ukifika mtaruhusiwa kuanza mtihani maana muda wa kuanza ni mmoja kwa nchi nzima kama ilivyo mitihani ya NECTA
Mfumo una display muda unaobaki mfano mtihani ni dk 50 kwa hiyo zitakuw zinaonekana kwa kupungua mfano,utakua unaona pale kwenye screen dk zilizobaki 49.48 ......mpka 0 ikitokea hujamaliza kujibu maswali yote na muda umeisha basi mtihnai una jisubmit automatically ila kama umemaliza unaweza kusubmit ata kabla ya muda kuisha kuna option ya kusubmit itakuja baada ya kumaliza swali la mwisho
Mtihani unafunguka wote na unaweza kuanza swali lolote kwenye mitihani kwa maana swali la kwanza au mwisho au la katikati,au vinginevyo kama ilivyo kwenye paper based exams
Unakuwa jna screw kupanda na kushuka kama unavofanya ukiwa unasoma document yenye pdf n.k pale kazi yako unacheza na mouse tu basi keybord unatumia kwenyebkulog in tu basi kazi yake inakuwa imeisha
Kujibu maswali unacheza na mouse tu maana una tick au kuselect jibu unaloona ni sahihi na linabadilika rangi kuwa kijani au blue kama sijakosea,na unaweza rudia ukabadilisha jibu kamw umejiridhisha umejaza pumba,mfumo unakubali kubadili jibu

Kama una saili zaidi ya moja mfumo unakuruhusu ufanye zote kwa siku hiyo ila utafanya wa kwanza baada ya kumaliza utasubiri mruhusiwe kuingia sesion ya pili maana muda wa kuanza ni mmoja kwa nchi nzima,kwa hiyo kama uko na interview nyingi siku hiyo unaweza kaa mpaka jioni kwa chumba cha mtihani maana hutoruhusiwa kutoka, pia mabegi na vitu vyote munavikusanya mbele kwenye meza unqbaki wewe na kompyuta yako

Kingine ukiwa kwenye mfumo wa online aptitude test hauruhusiwa kufungua tab nyingine pale kwenye browser ,ukifanya hivyo mfumo unakutema kwenye mtihani automaticaly kwa hiyo unakuwa umeaga mashindano
Kabla ya mtihani mnapewa dk 10 za kusoma maelekezo umo umo online then mtaambiwa muanze mtihani

Kawaida ni saa 1 yaani dk 60 ila wamegawa dk 10 za kusoma instruction na dk 50 za mtihani

Maswali hayapungue 40 kwa kada husika ,na yanaweza kuzidi inategemea na kada walivoona inafaa ila muda ni dk 60 (dk 10 kusoma instruction na dk 50 kufanya mtihani)

Matokeo unayapata siku hiy0 hiyo unawekewa kwenye akaunti yako ya ajiraportal kwamba selected for oral interview au not selected for oral interview

Online aptitude test ni mchujo tu ukifanikiwa kupita oral (usaili wa mahojiano) itafanyika dodoma ofisi za psrs au kwingineko watakako panga kutokana na kada husika

Kama bado una swali karibu
Maswali yanakuwa ya vile mlivyosoma darasani au ni maswali yanayopima uelewa wa jumla ??
 
Na je Kuna uwezekano mtu akaomba mfano singida lakini akaja kupangiwa mkoa mwingine?
Wakuu, inachosha sana kujibu swali moja kila saa. Hii ishu ilishatolewa maelezo humu kuwa ukiomba nafasi flan ya kazi ambayo ipo kwenye mikoa kadhaa bc barua hy hy moja ndio inatumika kwenye mikoa yote na ww mwnyw utaona kuwa umeomba kwenye mikoa yote.

Em someni comments zote kwenye huu uzi kabla ya kurudiarudia swali
 
Asante Kwa ufafanuzi ulionyooka. Swali Moja haujafafanua/kujibu ambalo ni kwamba: mfano Mimi musangaa nimeomba nafasi ya daktari bingwa mkoa wa katavi nimejaza anuani yangu mkoa wa Mtwara, je interview itanihitaji niende mkoani katavi au niabaki hapo hapo Mtwara? Kumbuka hii ni online interview kama ulivyodadafua. Kama itanihitaji nifanyie huko huko Mtwara, naweza kwenda kwenye vituo vyao pendekezwa kulingana na watakavyoelekeza, je ikitokea nipo mkoani Mara nitatakiwa kusafiri kwenda Mtwara kwenye anuani niliyojaza au mfumo utanikubalia kusailiwa hata kama nitakuwa Mara huko huko Kwa nafasi ya daktari bingwa niliyoomba mkoa wa katavi?
Usaili utafanya kwenye current address uliyojaza kwenye ajira portal ndicho kigezo wanachotumia kumpanga mtu kituo cha usaili incase usaili huo utafanyika online,upanga kituo cha usaili kwa kuangalia current addres,ata kama nafasi ya katavi usaili utafanya mkoa uliosema unaishi (current address) then oral mtakutana dodona
Kufanikiwa kuingia oral huwa kunawekwa alama za mwisho kuchaguliwa yaani (cutting point) hii itategemea na ufaulu ulivo wanaweza anza 50,au 60 ,au 70 n.k kwenda juu ili wapate idadi ya watao shindana oral hivyo jiandae ipasavyo ili uibuke kwenye list ya washindi
 
Sio kweli ..

Mtu ameomba kazi morogoro.

Et usaili wakamuweke kwenye current address dar es salaam
Usaili tutafanya mikoa tuliyooomba kazi ikishindikana zaidi tufanya kikanda.
 
Maswali yanakuwa ya vile mlivyosoma darasani au ni maswali yanayopima uelewa wa jumla ??
Mtihani inatoka kama Ulivosoma darasani lakini pia itategemeana na job description hivyo katika kusoma kwako zingatia job description yaani Kada yako unayoomba inataka mtu wa aina gani na atakuwa anafanya majukumu yapi hakikisha unaelewa kwa kina
 
Sio kweli ..

Mtu ameomba kazi morogoro.

Et usaili wakamuweke kwenye current address dar es salaam
Usaili tutafanya mikoa tuliyooomba kazi ikishindikana zaidi tufanya kikanda.
Kuna sehemu mbili za kujaza anuani pale kuna mosi permanet na sehemu nyingine ni current address

Kama huelewi kitu bora uulize kuliko kubisha
Mimi nimeshiriki aina zote za written (paper based na online aptitude test)
 
Habarini,hivi hizi ajira za tamisemi kupitia huu mfumo wa utumishi wa umma, kuna kuwa na interview? Kwamba ni mfumo mpya tumezoea miaka yote wanaombea uko tamisemi portal au wizara ya afya.je kuna uwezekano wa watu watakao chaguliwa kupelekwa moja kwa moja kazini bila interview?
Interview ni lazima na kuna vigezo na masharti yani unaweza kosa kazi kisa ujaweka sahihi barua ya maombi au ujaweka picha kwenye mfumo au ujaverify vyeti…..! Kuwa serious unapofanya maombi haya! Jiandae na usaili wa kuandika na kuongea kimombo 😂😂😂😂😂😂😂
 
Habari.

Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.

Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview.

Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira.

Zipo kada mbalimbali nazo ni.

1. TABIBU MSAIDIZI(CLINICAL ASSISTANT)-639
2. AFISA LISHE
3. MUUGUZI II -2282
4. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI 1016
5. MFAMASIA DARAJA LA PILI (PHARMACIST)-128
6. TABIBU KINYWA NA MENO(DENTAL THERAPIST)-210
7. MSAIDIZI WA AFYA -1057
Jumla.
8. AFISA AFYA MAZINGIRA
DARAJA LA PILI(ENVIROMENTAL OFFICER II)-124
9. KATIBU WA AFYA-41
10. FIZIOTHERAPIA II -83
11. MTEKNOLOJIA MENO DARAJA LA II -3
12. AFISA PHYSIOTHERAPY II-11
13. AFISA MUUGUZI DARAJA LA PILI-301
14. AFISA MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA LA PILI-57
15. DAKTARI BIGWA WA MAGONJA YA NDANI -7
16. MTEKNOLOJIA MSAIDIZI RADIOLOJIA -15
17. AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA PILI -124

Karibuni kwa kujadili.

Kusaidiana jinsi ya kuomba.

Walimu mjiandae.

====

Kupata tangazo kamili na namna ya kuomba nafasi hizo soma: Nafasi za kazi Kada za Afya TAMISEMI Julai, 2024
TAMISEMI HUWA HATOI AJIRA HIVYO
 
Kuna sehemu mbili za kujaza anuani pale kuna mosi permanet na sehemu nyingine ni current address

Kama huelewi kitu bora uulize kuliko kubisha
Mimi nimeshiriki aina zote za written (paper based na online aptitude test)
Nyie mnajua hamjaomba kazi halfu wajuaji sana.

Mimi nimeaplai kazj iringa.

Ila current location Dar.

Haya niambie interview nitaitwa wapi?
 
Back
Top Bottom