TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Mkuu kosa la kutosign barua! Kivp yani ? Unaeza elezea vizuri hapo
Interview lazima wafanye ndio maana wameletwa eneo la mkando hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣

Halafu wataanzwa kukandwa kwa kupunguzwa kutokana na makosa ya kutosign barua na mambo mengine! Ukiangalia mtiririko wa humu na aina ya maswali humu utagundua sana kulikuwa kuna fanyika makosa makubwa kuwapangia vituo watu bila kufanya interview! Interview zinaongeza umakini sa

Interview lazima wafanye ndio maana wameletwa eneo la mkando hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣

Halafu wataanzwa kukandwa kwa kupunguzwa kutokana na makosa ya kutosign barua na mambo mengine! Ukiangalia mtiririko wa humu na aina ya maswali humu utagundua sana kulikuwa kuna fanyika makosa makubwa kuwapangia vituo watu bila kufanya interview! Interview zinaongeza umakini sana
 
Mzee umeomba hizi ajira za afya au unaongea kwa experience.

Unajua mchana nimewaelekeza watu nimeona wajuaji wengi humu ndani kidogo @mwifa ndo amekuja na akili sana .

Ya kusema watu wa update taarifa mara baada ya kuitwa kwa usaili.
Nipo ajira portal tangu 2021 nlpofanya usaili wangu wa kwanza, ila sipo upande wa afya wala ualimu.

Sasa ufanye update ya taarifa yako baada ya kuitwa usaili kwahy hayo majina yalivotoka yanakuwa hayana taarifa yako ya sehemu pa kufanyia usaili hvy wakusubir ufanye update ndipo watoe tena majina kwa mara ya pili kuonyesha sehem pa kufanyia usaili?

Mwifwa
 
Mkuu kosa la kutosign barua! Kivp yani ? Unaeza elezea vizuri hapo
Mkuu, kawaida ht ww mwnyw c unajua ukiandika barua n lazima uweke saini yako au hilo hujui?
Sasa kwa mfumo wa ajira Portal usipoweka saini n kosa.
 
Nipo ajira portal tangu 2021 nlpofanya usaili wangu wa kwanza, ila sipo upande wa afya wala ualimu.

Sasa ufanye update ya taarifa yako baada ya kuitwa usaili kwahy hayo majina yalivotoka yanakuwa hayana taarifa yako ya sehemu pa kufanyia usaili hvy wakusubir ufanye update ndipo watoe tena majina kwa mara ya pili kuonyesha sehem pa kufanyia usaili?

Mwifwa
Watatuita mkoa tulioomba over.

Mfumo unaonyesha wala usijari .

Nje na hapo watatuambia tuaupdate taarifa.

Mwifa amekuelekeza vizuri sema umekaza ndo maana hizi ajira tumemuomba Katibu ila tumechagua mkoa mmoja naotaka waniajiri
 
Watatuita mkoa tulioomba over.

Mfumo unaonyesha wala usijari .

Nje na hapo watatuambia tuaupdate taarifa.

Mwifa amekuelekeza vizuri sema umekaza ndo maana hizi ajira tumemuomba Katibu ila tumechagua mkoa mmoja naotaka waniajiri
Nmekuuliza kwahy ukituma application kule wanajua mkoa uliopo bila kuweka address kwenye akaunti yako, ila naona hujajibu.
 
Samahani mkuu ,wanavyosema barua iliyosainiwa, inamaana isainiwe na nani?
Kama hivi
IMG_20240714_205840_253~2.jpg
 
Yn ukiitwa kwenye interview maana yake tayar wameshamalizana na akaunti yako inayoonyesha Location yako. Sasa kama utahama location hapo n kuwasiliana nao physical na sio kwenda kwenye akaunti yako kuweka hy location mpya.
Mana ukiitwa interview maana ake hapo hapo Tyr unakuwa ushapangiwa sehemu pa kufanyia kulingana na Location uliyoweka wakat wa application sio baada ya majina ya usaili kutoka.
Naona hili jambo tunavutana bure hapa.

Sasa nawaasa wanaofanya hizi Application waweke Address zao walipo kwa sasa.

Call for Interview ikitoka, watapewa taarifa nyingine zaidi ya namna watakavyofanya interview.

Hadi hapa natua huu mjadala wa Address.

Tuendelee kuelekezana mambo mengine.
 
Barua rasmi anasaini mwandishi, kwa msisitizo uliowekwa hapo yawezekana kuna utaratibu tofauti ,ndio maana nimeuliza mkuu. Kujua ABC za kufanya application zisikupe kibri na kujiona umetoboa
Umenielewa vibaya mkuu, wala sina kibri na kujiona nmetoboa mana mm n jobless tuu hapa, ila nipo hapa kwa ajili ya kuwasaidia wenzangu mana msaada wangu mdogo kwao naamini n baraka kwangu.

Ila mkuu, mm akaunti yangu ya ajira portal nimeijaza mwnyw kwa zaidi ya 80% nyingine ndio nimeomba msaada tena humu humu JF kipindi hicho naanza kuingia kwenye huu mfumo.

Ila mkuu, kuna baadhi ya maswali huwez kutegemea kuulizwa na mtu ambaye amemaliza chuo tena ni mtafuta ajira na tena n kijana. Kuna baadhi ya mambo kama kijana mtafuta ajira lazima uyajue ndio sio yote ila kuna yake muhimu sana.
Mfano ww Umeuliza n nani anatakiwa kuweka sign kwenye hy barua, dah sasa mkuu hii ishu c tulifundishwa shule ya msingi! Anyway nashukuru umejisahihisha mwnyw kuwa n muandishi wa barua ndio anatakiwa kuweka sign.

Ukisoma uzi huu utakuta kuna maswali mengi yameulizwa kwa kujirudiarudia ila watu hawasomi comment za watu ila wao kwakuwa wameona uzi bc wao wanaporomosha maswali wakati hapa kwenye uzi tulishamaliza hilo swali lkn bado tunawajibu vzr tuu hvy binafsi sio kwamba najiona najua sana hapana sio hvy ila najaribu kuwekana sawa tuu na nyie ndugu zangu mana sisi sote n jobless hvy yatupasa kusaidiana ht kama kutakuwa na utofauti wa mawazo ila mwisho wa siku tupate kitu bora mana n raha sana kupata feedback ya mtu uliyemsaidia kuwa amefanikisha jambo lake


😂 Samahani wakuu kwa andiko refu 😂
 
Sikwenda halfu ilikuwa nyepesi na waliongia oral wengi waliitwa kazini
Acha uoga kijana usidharau interview na umejuaje ilikuwa nyepesi wakati hukufanya wewe? Au umeona na umepewa hadithi? Interview ni rahisi akifanya mwenzio hakuna interview rahisi,ukiwa kwenye usahili ukiona ni rahisi pengine umejiandaa vizuri au umeenda chaka!

Usiwe na sababu isiyo ya msingi kutokwenda kwenye usahili nenda unaweza ukaziona nafasi nyingi na umezisubiri kwa hamu na usipate na ukaja kupata za wanao hitajika watu 9! Hata hizi elfu tisa kama hutojiandaa hutoboi na hutoamini! Jiandae na muombe Mungu achana na mambo ya interview rahisi!
 
Achana na mm ..

Yaani nyie ndo mtakuwa utumishi mmetengeneza mfumo ajira za mshahara mdogo zigombaniwe kwa interview.

Sasa ajira ya tamisemi tena ya masimango nayo ya kuita watu interview
Mkuu usiogope 😂😂😂😂😂 karibu ukandwe….tueapongeze tamisemi kwa uamuzi huu mzuri hakutakuwa na malalamiko!
 
Achana na mm ..

Yaani nyie ndo mtakuwa utumishi mmetengeneza mfumo ajira za mshahara mdogo zigombaniwe kwa interview.

Sasa ajira ya tamisemi tena ya masimango nayo ya kuita watu interview
😂😂😂😂😂😂😂😂 Mkuu acha uoga hakuna watu fair kama hao utumishi! Jiandae tuu ukandwe vyema na ukandike na utoboe hahahHahaha
 
Back
Top Bottom