Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Mkuu, sio lazima awe boss wako kazini, n mtu yeyote yule akipigiwa simu akiulizwa taarifa zako ataweza kutoa ila sio washikaji wala ndugu labla wawe na position fln huko dunianiNaonaga watu wanaandika watu wakubwa ambao hata sio maboss zao na hawahusiani na taaluma zao, ila usahili wanaitwa na kazi wanapata. Au ndo magepu😂😂