TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Ww sema hvy tuu, sasa kwenye mkando mkijikuta mko buku ndio utafunga huo mdomo

Madaktari wa meno huwa sio wengi. Kila mwaka lazima ware-advertise maana wanaojitokeza ni wachache. DDS ni miongoni mwa kada za Afya ambazo bado hazijafikia saturation point. Ni nadra sana kukuta mtaalamu wa meno hasa wa level ya shahda hana kazi na wengi wako private.

Kumbuka, bado tuna vyuo vitatu tu Tanzania vinavyotoa shahada ya udaktari wa meno na kinywa.​
 
Shahada nafikiri ni MUHAS tu. Ila Stashahada ndio vipo takribani vitatu.
 
Madaktari wa meno huwa sio wengi. Kila mwaka lazima ware-advertise maana wanaojitokeza ni wachache. DDS ni miongoni mwa kada za Afya ambazo bado hazijafikia saturation point. Ni nadra sana kukuta mtaalamu wa meno hasa wa level ya shahda hana kazi na wengi wako private.

Kumbuka, bado tuna vyuo vitatu tu Tanzania vinavyotoa shahada ya udaktari wa meno na kinywa.​
Duh bc vijana waione hii kama fursa.
 
Ebu soma vizuri hapo kweny boksi jekundu unisaidie na mimi kuelewaView attachment 3042285
Hapa mkuu mimi nimekuelewa hivi

Mfano wakati natuma maombi ya ajira ile sehemu ya personal details nikijaza Dodoma

Then wakapitia barua yangu na kuona nafaa kufanyiwa usahili

Kabla ya usahili kufanyika naweza kuwa na nafasi ya kutaka nifanyie wapi kwa hiyo naweza badili anuani ya dodoma nikajaza Tabora

Hivyo interview nikafanyia Tabora, I hope niko sahihi? au kichwa changu kigumu
 
Sasahivi nikitafuta kada inaonesha sijaapply na nimejarubi kujifanya kama na apply imeleta Hadi sehemu ya kuattach barua nashangaa.
 
Hapa mkuu mimi nimekuelewa hivi

Mfano wakati natuma maombi ya ajira ile sehemu ya personal details nikijaza Dodoma

Then wakapitia barua yangu na kuona nafaa kufanyiwa usahili

Kabla ya usahili kufanyika naweza kuwa na nafasi ya kutaka nifanyie wapi kwa hiyo naweza badili anuani ya dodoma nikajaza Tabora

Hivyo interview nikafanyia Tabora, I hope niko sahihi? au kichwa changu kigumu
Ni sahihi ila hadi watakapowaambia mbadili anwani au watawaambia kila mtu namna alivyojaza anwani ndipo atakapofanyia usahili
 
Ok Mwifa na wanajumuia wengina nina swali kwenu kwenye mfumo kwa wale ambao tupo kwenye mabaraza na tuna leseni kuna sehemu ya proffesional qualification ambapo tunapaswa kuiattach leseni.

Mfano, mimi nipo chini ya HLPC kwenye professional qualifiacation nahitajika kujaza from.....to....

Nauliza napaswa kujaza miaka ipi, je ni tokea naanza chuo hadi sasa au najaza miaka ipi?

Msaada ili nikaedit kabla wakuu wa wakuu hawajapiga lock

Natanguliza shukrani🙏
 
Back
Top Bottom