TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Wanaona kama kuweka interview ndo itazuia connection ndo pengine hali Ndo itakuwa Tete ni mwendo wa kucheza na psrs namba tu za mitihan za wenye connection
 
Wengine wamehitimu zamani washasahau habari za mitihan
Nilihoji humu ndani nikaonekana mshenzi.

Haiwezekani miaka yote waajiriwa kwa kuzingatia mwaka wa kubitimu na mwaka wa kumaliza.

Leo waje wampe jukumu PSRS akande watu.
Mfano MD kamaliza mwaka 2023 ukamwajiri kwa kigezo cha kufaulu mtihani na kumwachq MD wa mwaka 2019 kisa kafeli mtihani.

Kiukweli hizi Ajira zitakuwa na lawama haijawahi kutokea
 
Ndo hivo utakuja kushangaa wa mwaka 2023 wanapata ajira na hakuna kitu tutafanya
 
Na kuna mwenzangu mmoja yeye leseni yake aliipata 2019

huyu anaweka from 2019-2025 au???
Ndio.

Hizi professional qualifications ni kutambulika na kuruhusiwa kupractise.

Sasa mtu kama hana leseni ina maana bado hatambuliki na hajaruhusiwa kupractise.

Ili uoneshe ni lini umeanza kupractise ndio inatakiwa uweke mwaka ambao umesajiliwa na kupewa hiyo leseni..
 
Mwaka uliorenew na mwaka inapoisha ajaze 2024/2025
Hapana.

Ni lini kaingia kwenye practice, yaani lini kasajiliwa, ndio maana cheti cha usajili huwa ni kimoja tu kama kilivyo cheti cha chuo

Kurenew leseni(sio cheti cha usajili) imewekwa kila mwaka ili kuregulate.

Sasa ukiweka 2024 - 2025, wakati kasajiliwa 2019 na kuruhusiwa kupractise ina maana miaka ya nyuma alikuwa hapractise? Sawa unaweza kuwa hupractise lakini leseni ikiwa hai ina maana una practise
 
Back
Top Bottom