kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Asante sana nimeonaNjoo usome post tena, nimejibu hivyo pia
Na barua yangu nimetumia lugha ya kiingereza je kuna shida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana nimeonaNjoo usome post tena, nimejibu hivyo pia
Mwaka uliorenew na mwaka inapoisha ajaze 2024/2025Na kuna mwenzangu mmoja yeye leseni yake aliipata 2019
huyu anaweka from 2019-2025 au???
shukrani mkuuMwaka uliorenew na mwaka inapoisha ajaze 2024/2025
Tafuta wataalamu wa stationary wakusaidieSijui niapply tena
Naskia Kuwa hakuna interviewTamisemii hawana muda na interview ni sandakarawee na connectrion..!
Changamoto wamempa jukumy utumishiNaskia Kuwa hakuna interview
Aisee Bora zisiwepo tuChangamoto wamempa jukumy utumishi
Wengine wamehitimu zamani washasahau habari za mitihanChangamoto wamempa jukumy utumishi
Nilihoji humu ndani nikaonekana mshenzi.Wengine wamehitimu zamani washasahau habari za mitihan
Hakuna shidaAsante sana nimeona
Na barua yangu nimetumia lugha ya kiingereza je kuna shida?
Ndo hivo utakuja kushangaa wa mwaka 2023 wanapata ajira na hakuna kitu tutafanyaNilihoji humu ndani nikaonekana mshenzi.
Haiwezekani miaka yote waajiriwa kwa kuzingatia mwaka wa kubitimu na mwaka wa kumaliza.
Leo waje wampe jukumu PSRS akande watu.
Mfano MD kamaliza mwaka 2023 ukamwajiri kwa kigezo cha kufaulu mtihani na kumwachq MD wa mwaka 2019 kisa kafeli mtihani.
Kiukweli hizi Ajira zitakuwa na lawama haijawahi kutokea
Ndio.Na kuna mwenzangu mmoja yeye leseni yake aliipata 2019
huyu anaweka from 2019-2025 au???
Hapana.Mwaka uliorenew na mwaka inapoisha ajaze 2024/2025
Basi subirini kuitwa kazini wale ambao mtabahatika kuchukuliwaNaskia Kuwa hakuna interview
Hakuna option Wala chaguo wanaotaka kazi watafuata maelekezo jinsi gvt inavotakaBasi subirini kuitwa kazini wale ambao mtabahatika kuchukuliwa
Sijawaji kuona utumishi wanaajiri bila usaili wakituonea huruma sana labda oral tuHakuna option Wala chaguo wanaotaka kazi watafuata maelekezo jinsi gvt inavotaka
Ila hapa ni Utumishi (psrs) sio Tamisemi tena mkuu,hao watu kwa sasa zilipendwa😀Tamisemii hawana muda na interview ni sandakarawee na connectrion..!
Ngoja tusubiri ushangae interview ikawa mwakaniIla hapa ni Utumishi (psrs) sio Tamisemi tena mkuu,hao watu kwa sasa zilipendwa😀