TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Mkuu unasisitiza Kwa kujiamini Kuwa interview haipo source of information labda unayo mkuu endelea kututia moyo tusiotamani interview
Mkuu kua na Amani, INTAVYUU HAMNA.

na watakaobahatisha kazi, kuanzia tarehe 1 mwezi wa 8, wataanza kazi Rasimi.

Hakikisha ulikua unajitolea.
 
Mkuu kua na Amani, INTAVYUU HAMNA.

na watakaobahatisha kazi, kuanzia tarehe 1 mwezi wa 8, wataanza kazi Rasimi.

Hakikisha ulikua unajitolea.
Kwa ambao tulikuwa hatujitolei ndio hatuzingatiwi kabisa🥺

mbona hicho kigezo hawakukisema kwenye tangazo lao la ajira
 
Mkuu kwa hiyo kwa sisi ambao hatujajitolea sehemu na tumetuma maombi huko ajira portal

Safari yetu ndio imeishia hapo au wanaweza shikwa na huruma
Safari imeishia hapo.

Bunge lilivyokua linajadili habari za kuwapa kipaumbele wanaojitolea, maana yake ilikua hiyo.
 
Hahahaha we kweli pimbi wakati deadline tu ni tarehe 2,wewe unawaambia wataanza kazi tarehe 1😁
Jamaa kavurugwa na mambo ya usaili, amekuja na mpya ety kama hujajitolea huwezi kupata kazi 😂

Huyu jamaa itakuwa n mwalimu hvy anawakatisha tamaa wenzake ili kupunguza ushindani sasa cjui hajui kuwa waalimu jobless wapo zaidi ya laki mbili au vp 😂
 
Safari imeishia hapo.

Bunge lilivyokua linajadili habari za kuwapa kipaumbele wanaojitolea, maana yake ilikua hiyo.
Acha kudanganya watu hapa, kama wangechukua wanaojitolea wasingeliweka hizo nafasi utumishi, kikubwa vijana wajisomee wajenge confidence.
 
Jamaa kavurugwa na mambo ya usaili, amekuja na mpya ety kama hujajitolea huwezi kupata kazi 😂

Huyu jamaa itakuwa n mwalimu hvy anawakatisha tamaa wenzake ili kupunguza ushindani sasa cjui hajui kuwa waalimu jobless wapo zaidi ya laki mbili au vp 😂
Interview lazima tena itakuwa kali sana ili kuwapunguza wabaki wachache, mfano walimu wapo laki 2 itapigwa mbugi wanabaki hata 50000 wanaingia practical wanabaki 30000 oral wanabaki 11000 wanaohitajika, yaani hiyo ni issue ya wiki moja tu Kazi inaishia.
 
Back
Top Bottom