Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
Sifa recommendation letter😫😫Mkuu kwa hiyo kwa sisi ambao hatujajitolea sehemu na tumetuma maombi huko ajira portal
Safari yetu ndio imeishia hapo au wanaweza shikwa na huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa recommendation letter😫😫Mkuu kwa hiyo kwa sisi ambao hatujajitolea sehemu na tumetuma maombi huko ajira portal
Safari yetu ndio imeishia hapo au wanaweza shikwa na huruma
Basi nimekwishaSifa recommendation letter😫😫
Tumekwisha wote mkuu😂😂Basi nimekwisha
daah hiyo recommendation letter ndio nimeisikia hap na sikuiweka kabisaTumekwisha wote mkuu😂😂
Sio lazima, acha presha, hakuna mtu ambaye hajaitwa usaili kisa hajaweka hy batuadaah hiyo recommendation letter ndio nimeisikia hap na sikuiweka kabisa
Mkuu kua na Amani, INTAVYUU HAMNA.Mkuu unasisitiza Kwa kujiamini Kuwa interview haipo source of information labda unayo mkuu endelea kututia moyo tusiotamani interview
AiseeMkuu kua na Amani, INTAVYUU HAMNA.
na watakaobahatisha kazi, kuanzia tarehe 1 mwezi wa 8, wataanza kazi Rasimi.
Hakikisha ulikua unajitolea.
Kwa ambao tulikuwa hatujitolei ndio hatuzingatiwi kabisa🥺Mkuu kua na Amani, INTAVYUU HAMNA.
na watakaobahatisha kazi, kuanzia tarehe 1 mwezi wa 8, wataanza kazi Rasimi.
Hakikisha ulikua unajitolea.
Usiogope mkuu, kujitolea ni kuongeza experience katika kazi tuuKwa ambao tulikuwa hatujitolei ndio hatuzingatiwi kabisa🥺
mbona hicho kigezo hawakukisema kwenye tangazo lao la ajira
Safari imeishia hapo.Mkuu kwa hiyo kwa sisi ambao hatujajitolea sehemu na tumetuma maombi huko ajira portal
Safari yetu ndio imeishia hapo au wanaweza shikwa na huruma
Acha hizo bro, acha kuwakatisha watu tamaa kizembe hvySafari imeishia hapo.
Bunge lilivyokua linajadili habari za kuwapa kipaumbele wanaojitolea, maana yake ilikua hiyo.
Hahahaha we kweli pimbi wakati deadline tu ni tarehe 2,wewe unawaambia wataanza kazi tarehe 1😁Mkuu kua na Amani, INTAVYUU HAMNA.
na watakaobahatisha kazi, kuanzia tarehe 1 mwezi wa 8, wataanza kazi Rasimi.
Hakikisha ulikua unajitolea.
Jamaa kavurugwa na mambo ya usaili, amekuja na mpya ety kama hujajitolea huwezi kupata kazi 😂Hahahaha we kweli pimbi wakati deadline tu ni tarehe 2,wewe unawaambia wataanza kazi tarehe 1😁
Acha kudanganya watu hapa, kama wangechukua wanaojitolea wasingeliweka hizo nafasi utumishi, kikubwa vijana wajisomee wajenge confidence.Safari imeishia hapo.
Bunge lilivyokua linajadili habari za kuwapa kipaumbele wanaojitolea, maana yake ilikua hiyo.
Mkuu hamna kinachoshindikana chini ya jua.Hayo majina ya kujitolea wameyatoa wapi?
Haya sawa.Acha kudanganya watu hapa, kama wangechukua wanaojitolea wasingeliweka hizo nafasi utumishi, kikubwa vijana wajisomee wajenge confidence.
Interview lazima tena itakuwa kali sana ili kuwapunguza wabaki wachache, mfano walimu wapo laki 2 itapigwa mbugi wanabaki hata 50000 wanaingia practical wanabaki 30000 oral wanabaki 11000 wanaohitajika, yaani hiyo ni issue ya wiki moja tu Kazi inaishia.Jamaa kavurugwa na mambo ya usaili, amekuja na mpya ety kama hujajitolea huwezi kupata kazi 😂
Huyu jamaa itakuwa n mwalimu hvy anawakatisha tamaa wenzake ili kupunguza ushindani sasa cjui hajui kuwa waalimu jobless wapo zaidi ya laki mbili au vp 😂
Ok asante kwa taarifa.Safari imeishia hapo.
Bunge lilivyokua linajadili habari za kuwapa kipaumbele wanaojitolea, maana yake ilikua hiyo.
Usimsikilize huyoOk asante kwa taarifa.