Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Sawa subirini intavyuu .Interview lazima tena itakuwa kali sana ili kuwapunguza wabaki wachache, mfano walimu wapo laki 2 itapigwa mbugi wanabaki hata 50000 wanaingia practical wanabaki 30000 oral wanabaki 11000 wanaohitajika, yaani hiyo ni issue ya wiki moja tu Kazi inaishia.
Nachowahakikishia wale wote unaowafaham wanajitolea Kwa kada yako , watakuamo katika mkeka wa Ajira ,unless wawe wenyewe wamezengua vitu vidogovidogo vinavyohitajika Kwa AjiraPortal.