TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Interview lazima tena itakuwa kali sana ili kuwapunguza wabaki wachache, mfano walimu wapo laki 2 itapigwa mbugi wanabaki hata 50000 wanaingia practical wanabaki 30000 oral wanabaki 11000 wanaohitajika, yaani hiyo ni issue ya wiki moja tu Kazi inaishia.
Sawa subirini intavyuu .

Nachowahakikishia wale wote unaowafaham wanajitolea Kwa kada yako , watakuamo katika mkeka wa Ajira ,unless wawe wenyewe wamezengua vitu vidogovidogo vinavyohitajika Kwa AjiraPortal.
 
Acha hizo bro, acha kuwakatisha watu tamaa kizembe hvy
Tatizo la Wabongo hawapendi ukweli.

Suala la Kujitolea, Si mlilisikia Bungeni Kila kukícha ?

Mlihisi wanafanya ngonjera?? Mlidhan Serikali itapuuza ushauri wa Bunge ??.
 
Usiogope mkuu, kujitolea ni kuongeza experience katika kazi tuu
Daah nishakata tamaa nimetuma maombi ila sikujitolea na mshikaji kasema ambao hatukujitolea tusahau kuajiriwa

bora wangesema mapema ili tusitumie rasimali muda, pesa na ushauri kutuma maombi

Maana hata hizo nafasi za kujitolea tumetuma sana kwenye mahospitali na tukazikosa inatia uchungu sana

Anyway Ngoja Nimuachie Mungu, Binadamu Hupanga Mungu Huamua Nikipenya Nitakuja Kutoa Ushuhuda Hapa kuwa usikatishwe tamaa na awaye yeyote ile.
 
Serikali haijairi Kwa msukumo wa kukutaka wewe ujitolee kwanza.

Serikali inataka wewe mwenyewe ujitolee Kwa Moyo wako na uwezo wako, ndipo Sasa ikuajiri.

Ulitaka watangaze ili Sasa watu wakimbizane Kujitolea sababu tu wamesikia Kuna Ajira ??.
 
Sawa subirini intavyuu .

Nachowahakikishia wale wote unaowafaham wanajitolea Kwa kada yako , watakuamo katika mkeka wa Ajira ,unless wawe wenyewe wamezengua vitu vidogovidogo vinavyohitajika Kwa AjiraPortal.
Je tunaofanya mkataba na Serikali tupo kundi gani?
 
Kwa ambao tulikuwa hatujitolei ndio hatuzingatiwi kabisa🥺

mbona hicho kigezo hawakukisema kwenye tangazo lao la ajira
Uzuri WA PSRS hawaangali ilo kule hakuna cha Baba kanituma sijui mjomba kasemaje sijui wewe uoni jina ilo la Nani wala vimemo hakuna, wao wanakanda Tu ukifaulu interview zao unatoboa vizuri Tu, kikubwa wote pigeni nondo haswaa tena Ile ya deeply mvuke iyo written yao PSRS hawana upendeleo NI mwendo wa haki tu
 
Haujui tu.

Utumishi watu wanaingia kwa vimemo vizuri tu
 
Serikali haijairi Kwa msukumo wa kukutaka wewe ujitolee kwanza.

Serikali inataka wewe mwenyewe ujitolee Kwa Moyo wako na uwezo wako, ndipo Sasa ikuajiri.

Ulitaka watangaze ili Sasa watu wakimbizane Kujitolea sababu tu wamesikia Kuna Ajira ??.
Sawa Utumishi

Lets wait and see, I love this game
 
Mmh![emoji848] Kwa shuhuda za wakuu umu na asali wanazolamba tena taasisi zile Nono sidhani mkuu, vimemo hamna
Yah hasa database na mm natamani itokee mfano jana kuna database ya muhimbili imetoka Nina jamaa alikuwa anajua ataitwa na kweli ameitwa
 
Unaongela afya au ualimu we pindi rudia comment yako
Serikali haijairi Kwa msukumo wa kukutaka wewe ujitolee kwanza.

Serikali inataka wewe mwenyewe ujitolee Kwa Moyo wako na uwezo wako, ndipo Sasa ikuajiri.

Ulitaka watangaze ili Sasa watu wakimbizane Kujitolea sababu tu wamesikia Kuna Ajira ??.
Kuwa hao madaktari 900 ambao serikali inawatak kuwaajiri wote hao walikuwa wanajitolea sio + manesi 3000 huko wote walikuwa wanajitolea

Assumptions zako zitafakari tena nimekuzoom nikagundua huna tofauti na wale watu wakuwakatisha tamaa wengine.

Acha karma iamue, Save hii kuna watu wamejitolea na hawatapata kama kigezo ni kujitolea kulikuwa na haj gan ya kuattach professional qualifications, transcript etc.

Sijajua hasa lengo lako ni lipi ila unawavunja watu moyo as if ww ndie Katibu Utumishi...acha nikukande tu nimekuvumilia ila naon bado unasimamia hoja dhaifu sana shame
 
Interview lazima tena itakuwa kali sana ili kuwapunguza wabaki wachache, mfano walimu wapo laki 2 itapigwa mbugi wanabaki hata 50000 wanaingia practical wanabaki 30000 oral wanabaki 11000 wanaohitajika, yaani hiyo ni issue ya wiki moja tu Kazi inaishia.
1000118169.jpg
 
Kuwa hao madaktari 900 ambao serikali inawatak kuwaajiri wote hao walikuwa wanajitolea sio + manesi 3000 huko wote walikuwa wanajitolea

Assumptions zako zitafakari tena nimekuzoom nikagundua huna tofauti na wale watu wakuwakatisha tamaa wengine.

Acha karma iamue, Save hii kuna watu wamejitolea na hawatapata kama kigezo ni kujitolea kulikuwa na haj gan ya kuattach professional qualifications, transcript etc.

Sijajua hasa lengo lako ni lipi ila unawavunja watu moyo as if ww ndie Katibu Utumishi...acha nikukande tu nimekuvumilia ila naon bado unasimamia hoja dhaifu sana shame
Jamaa kadanganya ila uki leak na watu was utumishi wengi wanasema afya na elimu haitakuwa na usaili.

Ukiwauliza sababu kubwa wanasema budget hawana wataita tu kazi.

Nadhani mwakani labda
 
Kuwa hao madaktari 900 ambao serikali inawatak kuwaajiri wote hao walikuwa wanajitolea sio + manesi 3000 huko wote walikuwa wanajitolea

Assumptions zako zitafakari tena nimekuzoom nikagundua huna tofauti na wale watu wakuwakatisha tamaa wengine.

Acha karma iamue, Save hii kuna watu wamejitolea na hawatapata kama kigezo ni kujitolea kulikuwa na haj gan ya kuattach professional qualifications, transcript etc.

Sijajua hasa lengo lako ni lipi ila unawavunja watu moyo as if ww ndie Katibu Utumishi...acha nikukande tu nimekuvumilia ila naon bado unasimamia hoja dhaifu sana shame
Mwamba umeona upasue, huku ni kukatishana tamaa kweli aiseee, acheni taasis iamue aisee🤔🤔
 
Daah nishakata tamaa nimetuma maombi ila sikujitolea na mshikaji kasema ambao hatukujitolea tusahau kuajiriwa

bora wangesema mapema ili tusitumie rasimali muda, pesa na ushauri kutuma maombi

Maana hata hizo nafasi za kujitolea tumetuma sana kwenye mahospitali na tukazikosa inatia uchungu sana

Anyway Ngoja Nimuachie Mungu, Binadamu Hupanga Mungu Huamua Nikipenya Nitakuja Kutoa Ushuhuda Hapa kuwa usikatishwe tamaa na awaye yeyote ile.
Acha uboya, anakukatisha tamaa yeye kama nani kwenye maisha yako?
 
Mwamba umeona upasue, huku ni kukatishana tamaa kweli aiseee, acheni taasis iamue aisee🤔🤔
Anazingua anajikuta utumishi sana

Nimemstahi now nimeshindwa acha mfumo uamue wenyewe

Hizi application ni kama race ambayo kila mtu ana njia yake

Trust me kuna watu watakuja na shuhuda kwenye huu uzi kuwa hawakujitolea popote na still Mwenyez Mungu akawasaidia wakavuka.

Na watakuja hap watu kutoa shuhuda kuwa waliweka hzo recommendation letter na bado wakalamba jokeli.

Maisha huwa na siri nzito mnoo...
 
Kanuni za PSRS mikando NI lazima mkuu hawaangali kama unajitolea nafasi zinatangazwa mnaitwa kwenye mikando aliyefaulu analambishwa asali iyo ndo Sheria yao
 
Back
Top Bottom